Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchakato wa Spika mpya

MCHAKATO rasmi wa kumpata Spika mpya wa Bunge, atakayerithi mikoba ya Spika Anne Makinda, umeanza baada ya vyama vya siasa kuagizwa kuanza maandalizi ya kupata mgombea kutoka vyama hivyo haraka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mchakato kumngo’a Spika Eala waanza

>Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala) wameanza rasmi mchakato wa kumwondoa madarakani spika wao, Margareth Zziwa kutoka Uganda baada ya kuwasilisha hati ya kusudio hilo kwa katibu wa bunge hilo, Kenneth Madete

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM yaanza mchakato wa kusaka wenye sifa za kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

CCM

Muonekano wa jengo la Ofisi ndogo ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatangaza Ratiba ya Uchukuaji Fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wana-CCM wote wenye sifa husika. 

Ratiba ya mchakato huo ni kama ifuatavyo;-

Wana-CCM wasio Wabunge wanaoomba ridhaa ya CCM kugombea Uspika wanatakiwa kuchukua fomu kuanzia Novemba 11, 2015 saa Sita Kamili mchana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya...

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Agenda ya CUF mchakato wa Katiba Mpya

Wakati viongozi wa CCM wakizunguka jimbo kwa jimbo kutetea Mfumo wa Muungano wa Serikali mbili, Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema hakiungi mkono hata pendekezo lililotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba la kutaka Muungano wa Serikali tatu.

 

11 years ago

Habarileo

EU yampongeza JK kwa mchakato wa Katiba mpya

NCHI wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zimempongeza Rais Jakaya Kikwete, kwa kuanzisha na kusimamia vizuri mchakato wa kutunga Katiba mpya ambao unaendelea nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK atakiwa kunusuru mchakato Katiba mpya

MCHUNGAJI wa Kanisa la PAG, Charles Kanyika, amemtaka Rais Jakaya Kikwete, kushirikiana na viongozi wastaafu kunusuru nchi katika kipindi hiki cha kuelekea kutunga Katiba mpya. Mchungaji Kanyika alisema Rais Kikwete...

 

10 years ago

GPL

MCHAKATO WA KATIBA MPYA TUTARAJIE HASARA

KWANZA kabisa nimuombe Mungu azidi kuipa neema na amani Tanzania yetu, lakini pia tumshukuru kwa kutuweka hai tukiwa na afya njema. Baada ya kusema hayo niseme kwamba nimeamua kuandika makala haya kutokana na kuona kwamba shinikizo la kutaka kusitishwa kwa Bunge Maalum la Katiba limezidi kuongezeka kutoka kada au taasisi mbalimbali hapa nchini. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta Mimi napendekeza… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mchakato Katiba Mpya usiligawe Taifa

Mchakato wa Katiba Mpya unaoendelea nchini hauna dalili njema. Unatishia kusambaratisha Taifa na kuligawanya vipande vipande kiitikadi, kimakundi na kimasilahi.

 

11 years ago

Habarileo

JK, Mkapa, Shein waonya mchakato wa Katiba mpya

Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin MkapaVIONGOZI wa kitaifa wameonya kuhusu muelekeo wa mchakato wa kupata Katiba mpya, kwamba usiachiwe kuvuruga amani, upendo na mshikamano wa kitaifa, huku Rais Jakaya Kikwete akihadharisha kuwa isipopatikana, Katiba hiyo, itatafutwa tena miaka ijayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani