Spika wa Bunge EALA ang’olewa
NA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA,
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margreth Zziwa, jana ameng’olewa kushika wadhifa huo baada ya wabunge 36 kati ya 49 kupiga kura za ndiyo kutokuwa na imani naye kutokana na kile kilichoelezwa ameshindwa kuongoza Bunge hilo.
Kabla ya kufikia uamuzi wa kupiga kura, Kamati ya Bunge ya Sheria, Hadhi na Madaraka ya Bunge hilo ilipewa jukumu la kuchunguza tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabili ikiwamo kuwapendelea baadhi ya wabunge, kushindwa kufuata kanuni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Spika Eala ang’olewa madarakani
10 years ago
Habarileo18 Dec
Spika Bunge Afrika Mashariki ang’olewa
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margaret Zziwa hatimaye ameng’olewa na baadhi ya Wabunge wa Bunge hilo.
10 years ago
StarTV18 Dec
Spika Zziwa ang’olewa rasmi.
Na Magesa Magesa
Arusha.
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dokta Margret Zziwa ameng’olewa rasmi katika nafasi yake leo katika kikao cha dharura cha Bunge hilo kilichofanyika jijini Arusha leo.
Bunge hilo limekutana baada ya Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kutupilia mbali maombi ya Spika Zziwa ya zuio la muda dhidi ya kikao hicho ambacho kilikuwa na hoja ya kupokea, kujadili na kuamua taarifa ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Spika kutoka Kamati ya Sheria, Kanuni na Madaraka...
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Spika Zziwa ang'olewa Afrika Mashariki
11 years ago
Mwananchi30 May
Majaji EACJ waruhusu Spika Eala kung’olewa
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Spika Bunge Afrika Mash. sasa kung’olewa rasmi
11 years ago
MichuziWABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Spika Bunge la Eala kikaangoni leo Arusha
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LOO7b0tVyv4/XlPauNVmgiI/AAAAAAAAIJs/xOdY6Yk-LK45sqqZdlIVVjhJGLERGf3dwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200224_170121_147.jpg)
NZELENTIN NAHIMANA AWA MWENYEKITI WA KIKAO CHA BUNGE EALA BAADA YA SPIKA KUTOTOKEA KWENYE
![](https://1.bp.blogspot.com/-LOO7b0tVyv4/XlPauNVmgiI/AAAAAAAAIJs/xOdY6Yk-LK45sqqZdlIVVjhJGLERGf3dwCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200224_170121_147.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-xQ-QBEujlcs/XlPatoBxSPI/AAAAAAAAIJk/TomfHV13Q7gvxyAQ8K1zETvIep3K-EICwCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200224_163601_564.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-m0HRdwBxImQ/XlPauOdGKwI/AAAAAAAAIJo/X29zJHIlq1wOKohob_3pdI0BOhTyqI_4wCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200224_163650_207.jpg)