Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NZELENTIN NAHIMANA AWA MWENYEKITI WA KIKAO CHA BUNGE EALA BAADA YA SPIKA KUTOTOKEA KWENYE

Mwenyekiti wa kikao cha bunge la EALA Nzeintin Nahimana akiingia kuongoza kikao cha Tatu cha bunge la Nne jioni hii jijini Arusha  Mwenyekiti wa kikao cha tatu Nzelentin Nahimana akiwa kwenye chumba baada ya kupitishwa kuwa Mwenyekiti wa kikao cha bunge la nne kuongoza kikao cha Tatu cha bunge hilo leo jioni jijini Arusha.
Ahmed Mahmoud ArushaBunge la Afrika mashariki limempitisha Mbunge wa bunge hilo Leontin Nzeimanah kuwa Mwenyekiti wa Kikao cha Tatu mkutano wa nne kuendesha baada ya Spika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

LEONTINE NZEYMANE AWA MWENYEKITI WA KIKAO CHA BUNGE LA EALA BAADA YA SPIKA KUTOTOKEA KIKAONI KUTOKANA NA UDHURU


Mwenyekiti wa kikao cha bunge la EALA Nzeintin Nahimana akiingia kuongoza kikao cha Tatu cha bunge la Nne jioni hii jijini Arusha

Mwenyekiti wa kikao cha tatu Nzelentin Nahimana akiwa kwenye chumba baada ya kupitishwa kuwa Mwenyekiti wa kikao cha bunge la nne kuongoza kikao cha Tatu cha bunge hilo leo jioni jijini Arusha.

Ahmed Mahmoud Arusha 
Bunge la Afrika mashariki limempitisha Mbunge wa bunge hilo Leontin Nzeimanah kuwa Mwenyekiti wa Kikao cha Tatu mkutano wa nne kuendesha baada ya Spika...

 

10 years ago

Mtanzania

Dany Kidega awa Spika EALA

Margaret-ZziwaNa Elizabeth Mjatta
MBUNGE wa Chama cha National Resistance Movement (NRM) cha Uganda, Dany Kidega amechaguliwa kuwa Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA).
Kidega anachukua nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge hilo, Dk. Margareth Zziwa, aliyeondolewa kutokana na kukabiliwa na kashfa mbalimbali.
Kidega alipata ushindi huo baada ya mbunge mwenzake kutoka Uganda Christopher Okumu (UPC), kujiengua katika kinyang’anyiro hicho muda mchache baada ya kuingia bungeni.
Baada ya Dk. Zziwa...

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AONGOZA BUNGE LA 11 MKUTANO WA 19 KIKAO CHA KWANZA JIJINI DODOMA


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia  kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiteta jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia  kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.

 

11 years ago

Michuzi

WABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO

Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wa Tanzania, Adam Kimbisa, akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka Spika wa Bunge hilo. Kulia ni mbunge wa bunge hilo, Twaha Taslima na Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji. Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka...

 

10 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA Makamu Mwenyekiti ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya

Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akimkaribisha Makamu Mwenyekiti  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya Mhe. Chris Nakulelu kabla ya kufanya nao mazungumzo katika ukumbi wa mkutano wa Spika.Mhe.Nakululu alikuwa kiongozi wa msafara huo.Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akifurahi jambo na Makamu Mwenyekiti  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya Mhe. Chris Nakulelu wakati wa mazungumzo yao katika ukumbi wa mkutano wa Spika.Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa katika...

 

10 years ago

Mtanzania

Spika wa Bunge EALA ang’olewa

Margaret-ZziwaNA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA,
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margreth Zziwa, jana ameng’olewa kushika wadhifa huo baada ya wabunge 36 kati ya 49 kupiga kura za ndiyo kutokuwa na imani naye kutokana na kile kilichoelezwa ameshindwa kuongoza Bunge hilo.
Kabla ya kufikia uamuzi wa kupiga kura, Kamati ya Bunge ya Sheria, Hadhi na Madaraka ya Bunge hilo ilipewa jukumu la kuchunguza tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabili ikiwamo kuwapendelea baadhi ya wabunge, kushindwa kufuata kanuni...

 

10 years ago

Mwananchi

Spika Bunge la Eala kikaangoni leo Arusha

 Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dk Margret Zziwa huenda akang’olewa kwenye nafasi yake katika kikao cha dharura cha Bunge hilo kinachofanyika jijini Arusha leo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda akiwa kwenye kikao cha kamati ya Bunge la Katiba mjini Dodoma

PG4A9087

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bnge  Maalum la katiba kwenye viwanja  vya hoteli ya St. Gaspar mjini Dodoma Agosti 7, 2014 ambako  vikao vya kamati nne vinafanyika.  Kutoka kushoto ni  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utaala Bora, Capt George Mkuchika,  Faida Bakari na Dr. Ave Maria Semakafu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) .

PG4A9097

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani