Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda akiwa kwenye kikao cha kamati ya Bunge la Katiba mjini Dodoma

PG4A9087

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bnge  Maalum la katiba kwenye viwanja  vya hoteli ya St. Gaspar mjini Dodoma Agosti 7, 2014 ambako  vikao vya kamati nne vinafanyika.  Kutoka kushoto ni  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utaala Bora, Capt George Mkuchika,  Faida Bakari na Dr. Ave Maria Semakafu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) .

PG4A9097

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

pinda akiwa na wajumbe wa bunge maalumu la katiba mjini dodoma leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Mhe. Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Mhe. Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wajumbe wa  Bunge Maalum la Katika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mhe. Dominick Lyamchay, Mhe. Rashid Mtuta, Mhe. Consitantine Akitanda na  Mhe. Fahmi Dovutwa. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE MAALUM YAFANYA KIKAO CHAKE CHA KWANZA LEO MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta akiongoza kikao cha kwanza cha kamati ya Uongozi baada ya kuundwa leo. Kamati hiyo inayoundwa na wenyeviti wa Kamati za Bunge Maalum wote 12  pamoja na mambo mengine inajukumu la kaundaa ratiba ya Bunge Maalum. Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge Maalum Yahya Khamis Hamad na aliyekaa kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samia Suluhu Hassan.
 Naibu Katibu wa Bunge Maalum Dkt. Thomas Kashililah akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maamuzi ya kikao cha Kamati Kuu mjini Dodoma

1

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi alisema, Kamati Kuu pamoja na mambo mengine, ilipokea taarifa na kufanya tathimini juu ya maendeleo ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba nchini, ndani na nje ya Bunge.

Kamati Kuu vilele imepokea na kujadili taarifa kuhusu mazungumzo na mashauriano kati ya vyama vya CUF, CHADEMA,...

 

9 years ago

CCM Blog

JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambapo ajenda kuu ilikuwa kujadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philipo Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia).
 Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kikiendelea...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK aongoza kikao cha kamati kuu mjini Dodoma leo

1

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu  ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM kwenye ukumbi wa NEC,CCM Makao Makuu Dodoma.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma taarifa fupi ya ufunguzi wa kikao kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma.

Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Bi.Zakia Meghji akizungumza na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib wakibadilishana mawazo muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...

 

10 years ago

GPL

KIKAO CHA KAMATI KUU CCM CHAENDELEA MJINI DODOMA

Kikao cha Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2015 kinaendelea muda huu huko mkoani Dodoma baada ya kuahirishwa jana usiku.Kikao hicho kinatarajia kumtangaza mgombea urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba, 2015. Kujua nini kinaendelea, angalia LIVE Hapa====>>>bit.ly/1KYm3QQ

 

9 years ago

CCM Blog

KIKAO CHA KAMATI KUU KUFANYIKA KESHO MJINI DODOMA



Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM inatarajiwa kufanya kikao chake cha siku moja mjini Dodoma kesho Novemba 15, 2015 kujadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Taarifa Rasmi - Uspika

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani