LEONTINE NZEYMANE AWA MWENYEKITI WA KIKAO CHA BUNGE LA EALA BAADA YA SPIKA KUTOTOKEA KIKAONI KUTOKANA NA UDHURU
Mwenyekiti wa kikao cha bunge la EALA Nzeintin Nahimana akiingia kuongoza kikao cha Tatu cha bunge la Nne jioni hii jijini Arusha
Mwenyekiti wa kikao cha tatu Nzelentin Nahimana akiwa kwenye chumba baada ya kupitishwa kuwa Mwenyekiti wa kikao cha bunge la nne kuongoza kikao cha Tatu cha bunge hilo leo jioni jijini Arusha.
Ahmed Mahmoud Arusha
Bunge la Afrika mashariki limempitisha Mbunge wa bunge hilo Leontin Nzeimanah kuwa Mwenyekiti wa Kikao cha Tatu mkutano wa nne kuendesha baada ya Spika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziNZELENTIN NAHIMANA AWA MWENYEKITI WA KIKAO CHA BUNGE EALA BAADA YA SPIKA KUTOTOKEA KWENYE
Ahmed Mahmoud ArushaBunge la Afrika mashariki limempitisha Mbunge wa bunge hilo Leontin Nzeimanah kuwa Mwenyekiti wa Kikao cha Tatu mkutano wa nne kuendesha baada ya Spika...
10 years ago
Mtanzania20 Dec
Dany Kidega awa Spika EALA
Na Elizabeth Mjatta
MBUNGE wa Chama cha National Resistance Movement (NRM) cha Uganda, Dany Kidega amechaguliwa kuwa Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA).
Kidega anachukua nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge hilo, Dk. Margareth Zziwa, aliyeondolewa kutokana na kukabiliwa na kashfa mbalimbali.
Kidega alipata ushindi huo baada ya mbunge mwenzake kutoka Uganda Christopher Okumu (UPC), kujiengua katika kinyang’anyiro hicho muda mchache baada ya kuingia bungeni.
Baada ya Dk. Zziwa...
5 years ago
MichuziSPIKA NDUGAI AONGOZA BUNGE LA 11 MKUTANO WA 19 KIKAO CHA KWANZA JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiteta jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
11 years ago
MichuziWABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO
10 years ago
MichuziSPIKA WA BUNGE AKUTANA NA Makamu Mwenyekiti ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Spika wa Bunge EALA ang’olewa
NA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA,
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margreth Zziwa, jana ameng’olewa kushika wadhifa huo baada ya wabunge 36 kati ya 49 kupiga kura za ndiyo kutokuwa na imani naye kutokana na kile kilichoelezwa ameshindwa kuongoza Bunge hilo.
Kabla ya kufikia uamuzi wa kupiga kura, Kamati ya Bunge ya Sheria, Hadhi na Madaraka ya Bunge hilo ilipewa jukumu la kuchunguza tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabili ikiwamo kuwapendelea baadhi ya wabunge, kushindwa kufuata kanuni...
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Spika Bunge la Eala kikaangoni leo Arusha
10 years ago
MichuziNdassa awa Mwenyekiti Mpya wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10