Spika Bunge Afrika Mash. sasa kung’olewa rasmi
Mchakato wa kumng’oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Magreth Zziwa kutoka Uganda umekamilika kwa kupatikana saini 33 kati ya 20 zinazohitajika ili ang’oke na saini hizo zimewasilishwa ofisi ya Katibu wa Bunge hilo, Keneth Madete.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Dec
Spika Bunge Afrika Mashariki ang’olewa
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margaret Zziwa hatimaye ameng’olewa na baadhi ya Wabunge wa Bunge hilo.
11 years ago
Mwananchi30 May
Majaji EACJ waruhusu Spika Eala kung’olewa
11 years ago
Habarileo10 Jun
Wabunge wa Tanzania EAC wapinga spika kung’olewa
WABUNGE wa Tanzania katika Bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), wamesisitiza kutounga mkono hoja ya kumng’oa Spika wa bunge hilo, Margaret Zziwa, kwa kuwa haina maslahi na Tanzania na wana Afrika Mashariki kwa ujumla.
10 years ago
StarTV18 Dec
Spika Zziwa ang’olewa rasmi.
Na Magesa Magesa
Arusha.
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dokta Margret Zziwa ameng’olewa rasmi katika nafasi yake leo katika kikao cha dharura cha Bunge hilo kilichofanyika jijini Arusha leo.
Bunge hilo limekutana baada ya Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kutupilia mbali maombi ya Spika Zziwa ya zuio la muda dhidi ya kikao hicho ambacho kilikuwa na hoja ya kupokea, kujadili na kuamua taarifa ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Spika kutoka Kamati ya Sheria, Kanuni na Madaraka...
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Spika wa Bunge EALA ang’olewa
NA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA,
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margreth Zziwa, jana ameng’olewa kushika wadhifa huo baada ya wabunge 36 kati ya 49 kupiga kura za ndiyo kutokuwa na imani naye kutokana na kile kilichoelezwa ameshindwa kuongoza Bunge hilo.
Kabla ya kufikia uamuzi wa kupiga kura, Kamati ya Bunge ya Sheria, Hadhi na Madaraka ya Bunge hilo ilipewa jukumu la kuchunguza tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabili ikiwamo kuwapendelea baadhi ya wabunge, kushindwa kufuata kanuni...
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Spika Zziwa ang'olewa Afrika Mashariki
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CIL41JMq3ZU/VMvfjrE-SMI/AAAAAAAHAaQ/QoIr7EZ3F7Q/s72-c/IMG-20150130-WA0002.jpg)
SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA Makamu Mwenyekiti ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya
![](http://2.bp.blogspot.com/-CIL41JMq3ZU/VMvfjrE-SMI/AAAAAAAHAaQ/QoIr7EZ3F7Q/s1600/IMG-20150130-WA0002.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-a_GwgNbsM6w/VMvfY2TfQ3I/AAAAAAAHAaA/DCHiWfwPOrQ/s1600/IMG-20150130-WA0004.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-xmCQIWhQwEY/VMvfaemnxZI/AAAAAAAHAaI/jShhLVkKjU0/s1600/IMG-20150130-WA0003.jpg)
11 years ago
MichuziWABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO
10 years ago
Vijimambo25 Dec
Tibaijuka: Sijutii kung`olewa
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/AnnaTibaijuka(1).jpg)
Siku tatu baada ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, mwanasiasa huyo ametua jimboni kwake na kupokelewa kwa mbwembwe na wananchi wa jimbo hilo huku akisema hajutii kung’olewa.
Jumatatu wiki hii, Rais Kikwete akihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, alitangaza kumvua nafasi ya uwaziri Prof. Tibaijuka kutokana na kashfa ya...