Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tibaijuka: Sijutii kung`olewa

Atamba hababaikii vyeo, aliyetoa katwaaProf. Anna Tibaijuka
Siku tatu baada ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, mwanasiasa huyo ametua jimboni kwake na kupokelewa kwa mbwembwe na wananchi wa jimbo hilo huku akisema hajutii kung’olewa.

Jumatatu wiki hii, Rais Kikwete akihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, alitangaza kumvua nafasi ya uwaziri Prof. Tibaijuka kutokana na kashfa ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe apongeza kung’olewa Amani

MWENYEKITI  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe,  amewapongeza madiwani wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ), CHADEMA na Mbunge wa Bukoba Mjini, Khamisi Kagasheki kwa kusimama  kidete...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lembeli: Nilishtuka mawaziri kung’olewa

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli amesema alishtushwa na hatua ya kujiuzulu kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki na kung’olewa kwa...

 

10 years ago

Habarileo

CDA kung’olewa mtia nia akichaguliwa ubunge

ALIYEKUWA Mbunge wa Dodoma Mjini, David Malole juzi alirudisha fomu za ubunge kwa ajili ya kutetea kiti chake na kusema iwapo atachaguliwa tena atahakikisha wananchi wote walioporwa ardhi na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) wanarudishiwa ardhi yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Nipo tayari kung’olewa nikibainika ni mzigo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amevunja ukimya na kusema yuko tayari kuachia ngazi endapo tu Rais Jakaya Kikwete ataamua kumwondoa na kama itatokea hivyo, atamshukuru Rais kwa kumwambia, ahsante.

 

11 years ago

Habarileo

Chadema Katavi wabariki kung’olewa kwa mwenyekiti

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chadema mkoani Katavi wameridhia kwa kauli moja na kubariki uamuzi wa kumsimamisha uongozi Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama hicho, John Malack na viongozi wengine watatu waandamizi wa chama hicho, Jimbo la Mpanda Mjini.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wa Tanzania EAC wapinga spika kung’olewa

WABUNGE wa Tanzania katika Bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), wamesisitiza kutounga mkono hoja ya kumng’oa Spika wa bunge hilo, Margaret Zziwa, kwa kuwa haina maslahi na Tanzania na wana Afrika Mashariki kwa ujumla.

 

11 years ago

Mwananchi

Majaji EACJ waruhusu Spika Eala kung’olewa

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dk Magreth Zziwa amekalia kuti kavu kutokana na uwezekano wa kung’olewa madarakani baada ya Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kuruhusu bunge hilo kuendelea na shughuli zake kulingana na kanuni na taratibu zake.

 

11 years ago

Mwananchi

Spika Bunge Afrika Mash. sasa kung’olewa rasmi

Mchakato wa kumng’oa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Magreth Zziwa kutoka Uganda umekamilika kwa kupatikana saini 33 kati ya 20 zinazohitajika ili ang’oke na saini hizo zimewasilishwa ofisi ya Katibu wa Bunge hilo, Keneth Madete.

 

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa: Sijutii Kuachana na Mume Wangu

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amesema kamwe hatajutia kitendo cha kuachana na  mumewe, Dickson.

Akiongea na gazeti la Amani Shamsa alisema kuwa kipindi chote  wakati yupo kwenye uhusiano na mumewe huyo waliefunga naye ndo ya kimilia alikuwa akiteseka  na kupata shuruba nyingi japo hakuwa tayari kuziweka hadharani.

“Sijutii kuachana na mume wangu, nimepitia mateso mengi, sikotayari kurudi japokuwa nina motto naye” Shamsa alisema.

Kwa sasa inadaiwa Shamsa anatoka na Staa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani