Pinda: Nipo tayari kung’olewa nikibainika ni mzigo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amevunja ukimya na kusema yuko tayari kuachia ngazi endapo tu Rais Jakaya Kikwete ataamua kumwondoa na kama itatokea hivyo, atamshukuru Rais kwa kumwambia, ahsante.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo25 Dec
Tibaijuka: Sijutii kung`olewa
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/AnnaTibaijuka(1).jpg)
Siku tatu baada ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, mwanasiasa huyo ametua jimboni kwake na kupokelewa kwa mbwembwe na wananchi wa jimbo hilo huku akisema hajutii kung’olewa.
Jumatatu wiki hii, Rais Kikwete akihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, alitangaza kumvua nafasi ya uwaziri Prof. Tibaijuka kutokana na kashfa ya...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Mbowe apongeza kung’olewa Amani
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewapongeza madiwani wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ), CHADEMA na Mbunge wa Bukoba Mjini, Khamisi Kagasheki kwa kusimama kidete...
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Lembeli: Nilishtuka mawaziri kung’olewa
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli amesema alishtushwa na hatua ya kujiuzulu kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki na kung’olewa kwa...
11 years ago
Habarileo10 Jun
Wabunge wa Tanzania EAC wapinga spika kung’olewa
WABUNGE wa Tanzania katika Bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), wamesisitiza kutounga mkono hoja ya kumng’oa Spika wa bunge hilo, Margaret Zziwa, kwa kuwa haina maslahi na Tanzania na wana Afrika Mashariki kwa ujumla.
10 years ago
Habarileo19 Jul
CDA kung’olewa mtia nia akichaguliwa ubunge
ALIYEKUWA Mbunge wa Dodoma Mjini, David Malole juzi alirudisha fomu za ubunge kwa ajili ya kutetea kiti chake na kusema iwapo atachaguliwa tena atahakikisha wananchi wote walioporwa ardhi na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) wanarudishiwa ardhi yao.
11 years ago
Mwananchi30 May
Majaji EACJ waruhusu Spika Eala kung’olewa
11 years ago
Habarileo07 Apr
Chadema Katavi wabariki kung’olewa kwa mwenyekiti
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chadema mkoani Katavi wameridhia kwa kauli moja na kubariki uamuzi wa kumsimamisha uongozi Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama hicho, John Malack na viongozi wengine watatu waandamizi wa chama hicho, Jimbo la Mpanda Mjini.
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Spika Bunge Afrika Mash. sasa kung’olewa rasmi
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Magufuli: Nipo tayari kushtakiwa
![Waziri John Magufuli](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/John-Magufuli.jpg)
Waziri John Magufuli
Oliver Oswald Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema yupo tayari kufungwa jela kuliko kuendelea kuwavumilia watu wanaokwamisha ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa kukimbilia mahakamani.
Sambamba na hilo, pia amepiga marufuku uchimbaji wa mchanga pembezoni mwa mto uliokuwa eneo la daraja la Lugalo, ikiwa ni pamoja na kuwapa tahadhari ya kuwafungia wafanyabiashara walio karibu na eneo hilo endapo watashindwa kuwa walinzi wa uharibifu...