Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA ATEMBELEA MAJIMBO MATANO YA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR


 
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia vijana wapatao 500 wa Kituo cha Vijana ( Tanzania Youth Icon) cha Kuwaendeleza na Kuwawezesha katika masuala mbali mbali kama Elimu, Kujiajiri na Michezo
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati)akijaribu kutengeneza mapambo yatokanayo na karatasi kwa msaada wa mwalimu Abdala Suleiman (kushoto) wa Kituo cha Vijana ( Tanzania Youth Icon) cha Kuwaendeleza na Kuwawezesha katika masuala mbali mbali kama Elimu, Kujiajiri na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KINANA AUNGURUMA WILAYA YA DIMANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZANZIBAR

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wajumbe mbalimbali na wa wana CCM wakati alipowasili wilaya ya Kiembesamaki wilaya ya Dimani mkoa wa Mjini Magharibi jana.  Katibu…

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KATA ZA MWENGE NA MATOPENI KATIKA WILAYA YA LINDI MJINI PIA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi Mjini na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa CCM wa Tawi la Kilimahewa lililoko katika Kata ya Mwenge Ndugu Mohammed Madodo mara baada ya kuwasili katika Tawi hilo kwa ajili ya mkutano na viongozi wa Tawi tarehe 28,12.2014.Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akihutubia wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Kilimahewa huko Lindi Mjini...

 

11 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar Michezani na Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja

 Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja ukiwa katika hatua za mwisho katika matengenezo,ambapo Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, aliahidiwa kumalizika hivi karibuni wakati alipofanya ziara leo ya kuona maendeleo ya ujenzi huo.    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,atembelea maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar unaojengwa katika viwanja wa Kisonge Michenzani...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yashinda majimbo matano

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiendelea, tayari CCM imepata wabunge watano waliopita bila kupingwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Majimbo matano yavuruga Ukawa

Siku chache baada ya vyama vinavyounda Ukawa kutangaza mgawanyo wa majimbo, baadhi ya majimbo hayo yamekumbwa na sintofahamu baada ya wanachama kutokubaliana na uamuzi ya viongozi wa kuachiana majimbo.

 

10 years ago

Vijimambo

MAJIMBO MATANO KURUDIA KURA ZA MAONI


Nape Nnauye akizungumza kwenye moja ya mikutano na waandishi wa habari
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CC) imeagiza kurudiwa kwa uchaguzi   katika majimbo matano  kutokana na dosari mbalimbali zilizojitokeza katika mchakato wa kura ya maoni.Majimbo hayo ni Makete,Busega,Ukonga,Rufiji na Kilolo.Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye amesema mchakato  huo utarudiwa siku ya alhamisi Agosti 13.Amesema baada ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Kivumbi cha CCM Majimbo matano leo

Patricia Kimelemeta na Esther Mnyika

UPIGAJI wa kura za maoni zinazorudiwa katika majimbo matano leo nchini katika Chama Cha Mapinduzi (CCM)unatarajiwa kuwa na mvutano mkubwa.

Majimbo yanayorudia uchaguzi na mikoa yake kwenye mabano ni Busega (Simiyu), Kilolo (Iringa), Rufiji (Pwani), Makete(Njombe)na Ukonga(Dar es Salaam).

Kamati Kuu ya CCM iliamuru uchaguzi huo urudiwe baada ya kubaini rafu na ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi wakati wa kura za maoni ambapo pia matokeo yake yanapaswa...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi seif atembelea Kijiji cha Mvuleni Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A “ Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuwahudumia Wananchi wake katika kuwapatia huduma muhimu na za msingi za Kijamii ikielewa fika kwamba inatekeleza Sera na ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa kauli hiyo hapo katika Kijiji cha Mvuleni Kidoti Wilaya ya Kaskazini “A “ wakati akikabidhi vifaa mbali mbali vya ujenzi kwa ajili ya kuufanyia matengenezo makubwa Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Kijiji hicho. Balozi Seif alikabidhi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani