Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yashinda majimbo matano

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiendelea, tayari CCM imepata wabunge watano waliopita bila kupingwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

CCM yashinda majimbo 159, Chadema majimbo 35

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kunyakua majimbo ya uchaguzi 159, ambayo hadi jana yamethibitishwa na wasimamizi waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo hayo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikifuatia kwa kupata majimbo 35.

 

10 years ago

Mtanzania

Kivumbi cha CCM Majimbo matano leo

Patricia Kimelemeta na Esther Mnyika

UPIGAJI wa kura za maoni zinazorudiwa katika majimbo matano leo nchini katika Chama Cha Mapinduzi (CCM)unatarajiwa kuwa na mvutano mkubwa.

Majimbo yanayorudia uchaguzi na mikoa yake kwenye mabano ni Busega (Simiyu), Kilolo (Iringa), Rufiji (Pwani), Makete(Njombe)na Ukonga(Dar es Salaam).

Kamati Kuu ya CCM iliamuru uchaguzi huo urudiwe baada ya kubaini rafu na ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi wakati wa kura za maoni ambapo pia matokeo yake yanapaswa...

 

9 years ago

Mwananchi

Majimbo matano yavuruga Ukawa

Siku chache baada ya vyama vinavyounda Ukawa kutangaza mgawanyo wa majimbo, baadhi ya majimbo hayo yamekumbwa na sintofahamu baada ya wanachama kutokubaliana na uamuzi ya viongozi wa kuachiana majimbo.

 

10 years ago

Vijimambo

MAJIMBO MATANO KURUDIA KURA ZA MAONI


Nape Nnauye akizungumza kwenye moja ya mikutano na waandishi wa habari
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CC) imeagiza kurudiwa kwa uchaguzi   katika majimbo matano  kutokana na dosari mbalimbali zilizojitokeza katika mchakato wa kura ya maoni.Majimbo hayo ni Makete,Busega,Ukonga,Rufiji na Kilolo.Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye amesema mchakato  huo utarudiwa siku ya alhamisi Agosti 13.Amesema baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATEMBELEA MAJIMBO MATANO YA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR


 
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia vijana wapatao 500 wa Kituo cha Vijana ( Tanzania Youth Icon) cha Kuwaendeleza na Kuwawezesha katika masuala mbali mbali kama Elimu, Kujiajiri na Michezo
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati)akijaribu kutengeneza mapambo yatokanayo na karatasi kwa msaada wa mwalimu Abdala Suleiman (kushoto) wa Kituo cha Vijana ( Tanzania Youth Icon) cha Kuwaendeleza na Kuwawezesha katika masuala mbali mbali kama Elimu, Kujiajiri na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya CCM kunyakua majimbo 176 kati ya majimbo 264 na mengineyo soma hapa

123

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania.

Tathmini ya Upigaji Kura

Kama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala katika sehemu kubwa ya nchi yetu wakati wa zoezi la upigaji kura. Licha ya changamoto zilizojitokeza, ambazo baadhi zimeshughulikiwa, kwa jinsi zoezi la kupiga na kuhesabu kura lilivyoendeshwa kwa uwazi, matokeo ya uchaguzi huu yatakuwa ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Mambo muhimu matano yanayoiweka CCM pabaya

>Wiki mbili zilizopita Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiliadhimisha sherehe za kutimiza miaka 37 tangua kuanzishwa, huku kikiwa na mambo matano yanayokikaba koo.

 

9 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM: Mambo matano ‘mabaya’ Magufuli akiwa rais

>Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais wa chama hicho kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Tanzania utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Tanzania ina vyama 22 vilivyosajiliwa na vinavyofanya kazi sasa, tutake tusitake ni lazima rais wa nchi atatoka katika chama kimojawapo, na kwa sababu CCM imeshapitisha mgombea wake na yeye ana fursa ya kushinda uchaguzi kama ambavyo fursa hiyo ilivyo kwenye vyama vingine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani