Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yamaliza majimbo tisa, bado mawili

Chama cha Mapinduzi(CCM), kimepitisha majina ya wagombea katika majimbo tisa kati ya kumi na moja yaliyokuwa yamebaki kutokana na mvutano uliokuwa umeibuka baada ya kura za maoni wiki mbili zilizopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kamati kuu ya CCM Taifa yateua wagombea Ubunge katika majimbo mawili ya Singida Mashariki na Kiteto

1

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba.

2015 – Nape – Press Conf – Kamati Ya Kampeni Za Uchaguzi 2015 – 18.8.2015

 

9 years ago

TZToday

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya CCM kunyakua majimbo 176 kati ya majimbo 264 na mengineyo soma hapa

123

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba.

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake na kwa umma Watanzania.

Tathmini ya Upigaji Kura

Kama tulivyoeleza jana, tumeridhishwa na amani na utulivu uliotawala katika sehemu kubwa ya nchi yetu wakati wa zoezi la upigaji kura. Licha ya changamoto zilizojitokeza, ambazo baadhi zimeshughulikiwa, kwa jinsi zoezi la kupiga na kuhesabu kura lilivyoendeshwa kwa uwazi, matokeo ya uchaguzi huu yatakuwa ni...

 

9 years ago

Mwananchi

MATOKEO YA AWALI: Dk Magufuli anaongoza majimbo tisa, Lowassa manne

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jioni hii imeendelea kutoa matokeo ya awali ya urais katika majimbo 13 ambapo mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli anaongoza kwa majimbo tisa wakati Mgombea wa Chadema, Edward Lowassa anaongoza majimbo manne.

 

9 years ago

Habarileo

CCM yashinda majimbo 159, Chadema majimbo 35

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kunyakua majimbo ya uchaguzi 159, ambayo hadi jana yamethibitishwa na wasimamizi waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo hayo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikifuatia kwa kupata majimbo 35.

 

9 years ago

Mwananchi

Majimbo Ukawa hadharani, 12 bado moto

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimetangaza mgawanyo wa majimbo 253 kati ya 265 ya ubunge huku 12 yaliyokuwa kwenye mvutano yakibaki kiporo.

 

9 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU ZA FC BONGO NA FC KILIMANJARO ZILITOKA SARE YA MABAO MAWILI MAWILI KATIKA MECHI ILIYOFANYIKA KTK JIJI LA HELSINKI NCHINI FINLAND

Mechi ilianza kwa kasi na dakika 1 tu ya mchezo fc bongo walipata bao lao la kwanza kwa mkwaju wa penalt lililofungwa na mchezaji wao machachari Abass Kunha.
Kilimanjaro ilikuja juu na kufanikiwa kusawazisha kwa kona iliyopigwa na Richard Joseph ambayo ilimshinda nguvu kipa wa fc Bongo baada ya purukushani ndani ya lango hilo.
Kipindi cha pili kilianza kwa nguvu na kwenye dkk ya 80 Abass Kunha aliongeza bao la pili, vijana wa kilimanjaro waliongeza nguvu na baada ya dkk 5 wakafanikiwa kukomboa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani