Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZEC watoa matokeo ya majimbo mawili

TZToday

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM yamaliza majimbo tisa, bado mawili

Chama cha Mapinduzi(CCM), kimepitisha majina ya wagombea katika majimbo tisa kati ya kumi na moja yaliyokuwa yamebaki kutokana na mvutano uliokuwa umeibuka baada ya kura za maoni wiki mbili zilizopita.

 

10 years ago

Habarileo

Tunapokea maoni ugawaji majimbo - ZEC

TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema bado inaendelea na mchakato wa kupokea maoni na kuyachambua kuhusu ugawaji wa majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

 

10 years ago

Mtanzania

Vijana CCM waikaba ZEC ugawaji majimbo

hamduNa Mwandishi Wetu, Zanzibar
JUMUIYA ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuacha kuendeshwa na wanasiasa na badala yake itangaze mipaka ya majimbo ya uchaguzi kwa mujibu wa sheria.
Imesema kitendo cha kushindwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria na utaratibu unaotaka mipaka ya majimbo itangazwe kila baada ya miaka 10.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar jana, Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka, alisema ZEC imepewa...

 

11 years ago

GPL

Yanga watoa masharti mawili kwa Waghana

Hans van Der Pluijm. Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, kurejea nchini akitokea Ghana alikokuwa ameenda kwa ajili ya kutafuta wachezaji, Yanga wametoa masharti magumu. Kocha huyo ambaye baada ya mkataba wake na Wanajangwani hao kumalizika, aliamua kutimka zake, alisema anakwenda huko kwa ajili ya kuitafutia timu hiyo wachezaji watakaoziba nafasi ya Didier Kavumbagu na...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Utoaji wa matokeo ya urais — ZEC

Salma Said, Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) leo imewaonesha waandishi wa habari na waangalizi wa uchaguzi matayarisho ya tume hiyo pamoja na namna watakavyohesabu matokeo katika kituo cha kurushia matokeo hayo hapo Bwawani Hoteli.. Matangazo hayo […]

The post Utoaji wa matokeo ya urais – ZEC appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kamati kuu ya CCM Taifa yateua wagombea Ubunge katika majimbo mawili ya Singida Mashariki na Kiteto

1

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba.

2015 – Nape – Press Conf – Kamati Ya Kampeni Za Uchaguzi 2015 – 18.8.2015

 

9 years ago

Mwananchi

ZEC yafuta uchaguzi na matokeo yake Zanzibar

Tume ya Uchaguzi Zanzibar leo imetangaza kufuta uchaguzi na matokeo yake kwa kile ilichosema ni kuwa uchaguzi huo umegubikwa na ukiukwaji na taratibu za sheria za uchaguzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Kuepusha balaa, ZEC itangaze matokeo ya Uchaguzi Zanzibar

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwamo Zanzibar ilifanya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015. Kwa upande wa Visiwani, Wazanzibari walipiga kura kumchagua diwani, mwakilishi, Rais wa Zanzibar, mbunge wa Jamhuri ya Muungano na Rais wa Jamhuri ya Muungano kwa kutumia Daftari la Wapigakura la ZEC.

 

9 years ago

GPL

BREAKING NEWS: ZEC YAFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi  Zanzibar, uliofanyika Oktoba 25, 2015. Jecha amesema kuwa, ZEC imefuta matokeo ya uchaguzi kutokana na kukiukwa kwa sheria na taratibu mbalimbali za uchaguzi wakati wa utekelezaji wa zoezi hilo. Uchaguzi huo utarudiwa baada ya siku 90. TAARIFA ZAIDI HAPA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani