BREAKING NEWS: ZEC YAFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR
![](http://api.ning.com:80/files/8e0m82BHkpkaf4ORHaewZf4tMU3B5wozn7g4CC-28oelVzGBYDYeZi*IQua0YAHFPfPe6YhFwGjjI46FIVDz3xQ34nnLsSm2/BREAKINGNEWS3.gif)
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi Zanzibar, uliofanyika Oktoba 25, 2015. Jecha amesema kuwa, ZEC imefuta matokeo ya uchaguzi kutokana na kukiukwa kwa sheria na taratibu mbalimbali za uchaguzi wakati wa utekelezaji wa zoezi hilo. Uchaguzi huo utarudiwa baada ya siku 90. TAARIFA ZAIDI HAPA...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.
9 years ago
Mwananchi28 Oct
ZEC yafuta uchaguzi na matokeo yake Zanzibar
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.
Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Kuepusha balaa, ZEC itangaze matokeo ya Uchaguzi Zanzibar
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-J6rb7Y8vxdI/VjCpqi-XZ6I/AAAAAAAIDKQ/wem7bu-7ed0/s72-c/20151028035057.jpg)
TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR YAFUTA UCHAGUZI WA ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-J6rb7Y8vxdI/VjCpqi-XZ6I/AAAAAAAIDKQ/wem7bu-7ed0/s640/20151028035057.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-er8jVRkg_7o/VjCprncR3wI/AAAAAAAIDKU/zN8pUewvZ6g/s640/20151028035057q.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-MrQnzIPFK1w/VjCpsfCawUI/AAAAAAAIDKg/aahnc4w4iSk/s640/20151028035048z.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-o3M_FOxHS4w/VkMeI9h55-I/AAAAAAAIFS4/RvP7mm_pjgM/s72-c/IMG_3873.jpg)
ACT WAZALENDO WAMWOMBA RAIS MAGUFULI KUAMURU ZEC KUTANGAZA MATOKEO ZANZIBAR
Zitto amesema kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) hakuwa na mamlaka yoyote ile katika tume hiyo ya kukufuta matokeo ya uchaguzi...
9 years ago
Mwananchi28 Oct
Lipumba aishukia ZEC kufuta uchaguzi Zanzibar
10 years ago
Mwananchi12 May
ZEC yamjibu Maalim Seif uchaguzi Zanzibar
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-PNVRyv5mSmM/Xu4IoW_tn4I/AAAAAAAAWOo/pVGwsWWBxv8a4-b1gKpIoNKeCZw9P_HywCLcBGAsYHQ/s72-c/a7761dd6-979b-48df-ae2f-d7327d719d11.jpg)
MWENYEKITI WA ZAMANI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ZANZIBAR (ZEC), JECHA SALUM JECHA AOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR
![](https://1.bp.blogspot.com/-PNVRyv5mSmM/Xu4IoW_tn4I/AAAAAAAAWOo/pVGwsWWBxv8a4-b1gKpIoNKeCZw9P_HywCLcBGAsYHQ/s400/a7761dd6-979b-48df-ae2f-d7327d719d11.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-JbxPLMB_LgA/Xu4I63DHchI/AAAAAAAAWPA/130ugm-Kdl4vZ_joVzrRtMksKijXZ9hhQCLcBGAsYHQ/s400/8638efdf-368b-4032-8215-5648a0fc8cf6.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-YXKMBT1aT2c/Xu4IpRwpJ1I/AAAAAAAAWOw/95AS9HmbUTIxzBAIl8U8aHGbzg2dpGrlgCLcBGAsYHQ/s400/fbb5e42d-81c7-427a-ad82-18b91b0e0e8b.jpg)