Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga watoa masharti mawili kwa Waghana

Hans van Der Pluijm. Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, kurejea nchini akitokea Ghana alikokuwa ameenda kwa ajili ya kutafuta wachezaji, Yanga wametoa masharti magumu. Kocha huyo ambaye baada ya mkataba wake na Wanajangwani hao kumalizika, aliamua kutimka zake, alisema anakwenda huko kwa ajili ya kuitafutia timu hiyo wachezaji watakaoziba nafasi ya Didier Kavumbagu na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Manji awastopisha Waghana Yanga SC

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji. Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Yanga ulio chini ya mwenyekiti Yusuph Manji, umewazuia wachezaji wake wa kimataifa raia wa Ghana waliotarajiwa kuwasili nchini Jumamosi iliyopita, ikihofia watanenepeana kutokana na timu hiyo kutofanya mazoezi kwa sasa. Wachezaji hao wanasubiriwa kutua Jangwani kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Yanga kisha wasajiliwe. Walipendekezwa na kocha aliyemaliza muda...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba kuishangilia Yanga kwa masharti

Klabu ya Simba imewapa masharti mahasimu wao wa jadi, Yanga kama inahitaji mashabiki wao waishangilie kwenye mchezo wa keshokutwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF), dhidi ya BDF IX ya Botswana.

 

10 years ago

CloudsFM

Yanga kulipa deni la Ngasa kwa masharti

HATIMAYE Klabu ya Yanga imekubali kulipa deni analodaiwa mchezaji wao, Mrisho Ngassa na klabu ya Simba, kwa masharti iwapo tu atakubaliana nao katika baadhi ya mambo likiwamo la mkataba au jambo lingine lolote.

Aidha, Ngassa ameahidi kucheza kwa kiwango katika michuano ya ligi na ya kimataifa na kuwa mchezaji bora iwapo tu uongozi wa klabu hiyo utamsaidia kulipa deni hilo kama ulivyoahidi.

Katika msimu wa 2013/2014, Ngassa alijiunga na Yanga akitokea Simba alikokuwa akicheza kwa mkopo akiwa...

 

11 years ago

GPL

Yanga wauziwa beki kwa masharti matatu

Na Sweetbert Lukonge
WAKATI uongozi wa Yanga ukiwa katika harakati za kutaka kumsajili beki wa kulia wa Mtibwa Sugar, Hamis Kessy, umepewa masharti matatu ya kufanya ili uweze kukamilisha usajili huo. Yanga inamhitaji beki huyo ambaye msimu uliopita alifanya vizuri zaidi akiwa na kikosi cha Mtibwa Sugar ili iweze kuimarisha safu yake ya ulinzi kwa ajili ya michuano ya ligi kuu na ile ya kimataifa ambayo itashiriki mwakani....

 

9 years ago

TZToday

11 years ago

BBCSwahili

Wanaharakati wa Urusi watoa masharti

Wanaharakati wanaiounga mkono Urusi wametangaza masharti mapya ambayo wanahitaj yatekelezwa kabla ya wao kuondoka kutoka kwa majengo ya serikali

 

10 years ago

Mwananchi

Waarabu watoa masharti uwekezaji bandari ya Bagamoyo

Maofisa wa eneo huria la uwekezaji la Jafza katika Bandari Jebel Ali ya jijini hapa wamelalamikia urasimu katika maeneo mbalimbali ya uwekezaji Tanzania na kudai kuwa ndiyo yanayokwamisha shughuli nyingi za maendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Upinzani watoa masharti magumu kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015

Serikali imetakiwa kuandaa taratibu za mpito za kushughulikia Uchaguzi Mkuu ujao ili kunusuru nchi kuingia katika mtanziko unaoweza kuwa chanzo cha machafuko ya kisiasa, endapo utafanyika bila kupatikana kwa Katiba Mpya la sivyo Kambi Rasmi ya haitashiriki.

 

11 years ago

GPL

Coutinho atupia mabao mawili Yanga

Kiungo mpya wa Yanga, Mbrazil, Coutinho (7) akipasha na wenzake.
Na Wilbert Molandi
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho, ameonyesha upinzani mkubwa wa kupachika mabao kwa mshambuliaji wa timu hiyo, Jerry Tegete.
Upinzani mkubwa baina ya wawili hao ulitokea katika mazoezi ya jana jioni kwenye Uwanja wa Chuo cha Bandari, Temeke jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku ya kwanza timu hiyo kuanza mazoezi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani