Manji awastopisha Waghana Yanga SC
![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pInvkPyr8KEzJU99dujvUkWkdkuMPm8-jUSYgNrAOOEyR1EUJoUomYrUn1NokaD-b8yKh-eKS12s0zCcdG9ZJd/manji.jpg?width=650)
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji. Na Khadija Mngwai UONGOZI wa Yanga ulio chini ya mwenyekiti Yusuph Manji, umewazuia wachezaji wake wa kimataifa raia wa Ghana waliotarajiwa kuwasili nchini Jumamosi iliyopita, ikihofia watanenepeana kutokana na timu hiyo kutofanya mazoezi kwa sasa. Wachezaji hao wanasubiriwa kutua Jangwani kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Yanga kisha wasajiliwe. Walipendekezwa na kocha aliyemaliza muda...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfjHN30vS2FwxnBVsIOAUFGCVQ92UC4kQXry1AfeUj2UkZjf8rvqw*UzpGKjBnW4CJkniQPmMnZrG-PrcAEBJHzA/22.gif?width=650)
Yanga watoa masharti mawili kwa Waghana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpyAiIYtSqVCexT1r9Aw4KnFmQCQchvAY1EXZwYxf5HZaYeyOWqCE3ZT7SNFr9mCDqVNNkZRzwudiNqc4GhQgIU-/oneeeeee.jpg?width=650)
Manji ajitoa Yanga SC
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Manji aibuka Yanga
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji, ameibuka na kudai kuwa kutokuwepo kwake nchini ndiyo sababu ya kutokea kwa maneno ya hapa na pale, huku akiwafuta uanachama wanachama sita na tawi moja....
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Tigana: Manji tatizo Yanga
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Manji asema basi Yanga
MWENYEKITI wa Yanga ya jijini Dar es Salaam, Yusuph Manji, ametangaza kutowania tena uenyekiti wa klabu hiyo katika uchaguzi mkuu ujao ili kutoa nafasi kwa wanachama wengine wapate fursa ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcL*K5oiL-D7GQWMNBohUtLR1UqKJ9R*NsafJkNvXi1xu7uHsPzGxzVFpCZTbRO9UdoZVataFtHfpa9nvr*StwQU/5.jpg?width=650)
Manji amuokoa Kaseja Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbafngrMljwmdvNKdpuO*F1aDPMx5Ml0fk9jOGKhQEAcegd77RGxLUujmr2G4NqzgHNiEBHZDEs7KCx*GgalwMxGb/manji.jpg?width=650)
Manji abaki kuiongoza Yanga
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Manji awatega wakorofi Yanga
MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, ameamua kujibu mapigo dhidi ya wanachama wanaopinga maamuzi ya mkutano mkuu wa Juni 1, mwaka huu, akiwataka wajiorodheshe kujua idadi na uhai wao...
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Manji kutogombea uenyekiti Yanga