Yanga kulipa deni la Ngasa kwa masharti
HATIMAYE Klabu ya Yanga imekubali kulipa deni analodaiwa mchezaji wao, Mrisho Ngassa na klabu ya Simba, kwa masharti iwapo tu atakubaliana nao katika baadhi ya mambo likiwamo la mkataba au jambo lingine lolote.
Aidha, Ngassa ameahidi kucheza kwa kiwango katika michuano ya ligi na ya kimataifa na kuwa mchezaji bora iwapo tu uongozi wa klabu hiyo utamsaidia kulipa deni hilo kama ulivyoahidi.
Katika msimu wa 2013/2014, Ngassa alijiunga na Yanga akitokea Simba alikokuwa akicheza kwa mkopo akiwa...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Feb
Yanga kumlipia Ngasa deni

Ngasa alilazimika kukopa fedha benki baada ya kuamriwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kuilipa Simba Sh. milioni 45 alizochukua ili ajiunge nayo lakini akaikacha na kutua Yanga. Kamati hiyo pia ilimfungia mechi sita za awali za Ligi Kuu ya Tanzania Bara...
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Ngasa aomba Yanga imlipie deni
10 years ago
BBCSwahili30 Jun
Muda wayoyoma kwa Ugiriki kulipa deni
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Ugiriki kuchelewa kulipa deni IMF
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Serikali kulipa deni la watumishi wa umma
WATUMISHI wa Umma wanaidai serikali zaidi ya sh. bilioni nane, ikiwa ni malimbikizo ya madeni.
Hata hivyo, serikali imesema kiasi hicho ni kidogo ikilinganishwa na madai yaliyokuwepo awali, ambapo watumishi walikuwa wakiidai serikali fedha nyingi.
Hayo yameelezwa bungeni jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Celina Kombani, ambapo alisema jitihada zinaendelea kufanywa ili kumaliza deni hilo.
Alikuwa akijibu swali la Masoud Abdalla Salim (Mtambile- CUF), ambaye...
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Ugiriki yashindwa kulipa deni la IMF
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Serikali iharakishe kulipa deni la MSD
MOJA ya taarifa iliyopo katika gazeti hili ni ile ya mbunge wa Kisesa, Luaga Mpina (CCM), kuutaka mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma, uahirishwe ili fedha zitakazookolewa, zikalipie deni la...
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Simba kuishangilia Yanga kwa masharti