Serikali kulipa deni la watumishi wa umma
WATUMISHI wa Umma wanaidai serikali zaidi ya sh. bilioni nane, ikiwa ni malimbikizo ya madeni.
Hata hivyo, serikali imesema kiasi hicho ni kidogo ikilinganishwa na madai yaliyokuwepo awali, ambapo watumishi walikuwa wakiidai serikali fedha nyingi.
Hayo yameelezwa bungeni jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Celina Kombani, ambapo alisema jitihada zinaendelea kufanywa ili kumaliza deni hilo.
Alikuwa akijibu swali la Masoud Abdalla Salim (Mtambile- CUF), ambaye...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Serikali iharakishe kulipa deni la MSD
MOJA ya taarifa iliyopo katika gazeti hili ni ile ya mbunge wa Kisesa, Luaga Mpina (CCM), kuutaka mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma, uahirishwe ili fedha zitakazookolewa, zikalipie deni la...
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Serikali kulipa riba Sh5 bilioni deni la miezi sita
9 years ago
MichuziSERIKALI KULIPA MADENI YA WATUMISHI WA SERIKALI ZA MITAA.
Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa pili kutoka kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu namna Serikali inavyoshughulikia madai ya watumishi walio katika Serikali za Mitaa wasio walimu. Na Magreth Kinabo-maelezoSERIKALI imetenga kiasi cha fedha cha Sh. bilioni tano ( 5.93) ikiwa ni madeni ya mishahara ya Watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa(TALGWU) na Sh. bilioni nne(4) kwa ajili ya kulipa madeni ya yasiyohusu mishahara,...
5 years ago
MichuziSERIKALI YATENGA FEDHA KULIPA MADENI YA WATUMISHI YALIYO HAKIKIWA
Na. Farida Ramadhani na Peter Haule, WFM, Dodoma Serikali imesema kuwa imetenga Sh. bilioni 600 kwa ajili ya kulipa madeni yaliyohakikiwa ya Watumishi wa umma kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ikiwa ni moja ya mkakati wa kuleta nidhamu na uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la msingi la Mbunge wa Bumbwini, Mhe. Muhammed Amour Muhammed, aliyetaka kujua ni lini Serikali...
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Serikali: Mishahara ya watumishi umma kulipwa kupitia akaunti
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Serikali imeagiza watumishi wote wa umma walipwe mishahara moja kwa moja kupitia akaunti zao sahihi za benki ambazo zitatumika kupitishia mishahara yao.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba alipokuwa akiongea na waandishi wa habari ofisi za Hazina leo jijini Dar es salaam.
“Mishahara ya Watumishi wote wa Serikali, wakala na taasisi za umma italipwa moja kwa moja kupitia akaunti zao za banki” alisema...
10 years ago
MichuziSerikali imejipanga kutatua tatizo la makazi kwa watumishi wa umma
Serikali imejipanga kutatua tatizo la makazi kwa watumishi wa umma kwa kujenga nyumba Elfu 10 za gharama nafuu kote nchini.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Bw.Elius Mwakalinga wakati wa ziara ya waandishi wa habari katika miradi mbalimbali inayotekelezwa na wakala huo jijini Dar es Salaam na Pwani.
Mwakalinga alisema kuwa mradi huo wa nyumba elfu 10 unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 18 unahusisha nyumba...
11 years ago
MichuziWatumishi wa Serikali na Mashirika ya Umma wafanya Tamasha la Michezo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
10 years ago
MichuziWatumishi Housing Company na Kibaha Education Centre waafikiana kushirikiana katika ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma
5 years ago
MichuziDKT MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI HOUSE KUWEKA KIPAUMBELE WATUMISHI WA UMMA KUNUNUA NYUMBA ZA TAASISI HIYO
Amesema licha kutoa kipaumbele Kwa watumishi wa umma lakini pia asilimia nyingine lazima iende Kwa watumishi ambao wapo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Dkt Mwanjelwa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kutembelea moja ya miradi...