DKT MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI HOUSE KUWEKA KIPAUMBELE WATUMISHI WA UMMA KUNUNUA NYUMBA ZA TAASISI HIYO
NAIBU Waziri wa nchi ofisi ya Rais utumishi wa umma na utawala bora.Dkt Mary Mwanjelwa amewataka watumishi House kuweka kipaumbele Kwa watumishi wa umma kuweza kupata nafasi ya kununua nyumba ambazo zinajengwa na taasisi hiyo ya umma.
Amesema licha kutoa kipaumbele Kwa watumishi wa umma lakini pia asilimia nyingine lazima iende Kwa watumishi ambao wapo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Dkt Mwanjelwa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kutembelea moja ya miradi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.
TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UZldFb3JMoA/VGgOvBBkTBI/AAAAAAAGxko/sTc8Io0ylbQ/s72-c/unnamed.jpg)
Watumishi Housing Company na Kibaha Education Centre waafikiana kushirikiana katika ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma
![](http://3.bp.blogspot.com/-UZldFb3JMoA/VGgOvBBkTBI/AAAAAAAGxko/sTc8Io0ylbQ/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
VijimamboWATUMISHI HOUSING COMPANY, BENKI YA CRDB WATIA SAINI MKATABA WA MIKOPO YA NYUMBA KWA WATUMISHI WA UMMA
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (kulia), akitia saini mkataba huo. Kutoka kushoto ni Chief Operation Officer wa WHCTZ, Weja Ng'olo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TMRC, Oscar Mgaya, Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dk.Fred Msemwa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Charles Kimei.
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Taasisi kuwajengea watumishi nyumba
TAASISI ya Watumishi Housing inatarajia kuondoa kero kwa baadhi ya watumishi serikalini hasa wale wanaolipwa mshahara mdogo kustaafu huku wakiwa hawana nyumba wanazomiliki kwa kujenga nyumba na kisha kuwauzia kwa...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
WHC yadhamiria kuwamilikisha nyumba watumishi wa umma
TAKWIMU zinaonyesha kwamba kuna mahitaji ya nyumba milioni tatu nchini na kila mwaka zinatakiwa nyumba 200,000. Wakati takwimu zikionyesha hivyo, ni asilimia mbili tu ya watu wanaojenga kupitia mikopo ya...
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Mradi wa TBA wa ujenzi wa nyumba 10,000 za watumishi wa umma washika kasi
Jengo la gorofa 8 lenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.9 lililojengwa na wakala wa Majengo Tanazania (TBA) Katika eneo la Ada Estate Kinondoni Jijini Dar es salaam ambalo litapangishwa kwa watumishi wa umma mara litakapokamilika mwishoni mwa mwaka huu ikiwa ni moja ya hatua za Serikali kutatua tatizo la makazi kwa watumishi wa umma.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa mbele ya moja ya nyumba za Majaji zinazojengwa na TBA wakati wa ziara yao katika eneo la Masaki jijini Dar es...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA UJENZI AKAGUA MIRADI YA NYUMBA ZA TBA KWA AJILI YA WATUMISHI WA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Vijimambo24 Jun
RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AWATUNUKU NISHANI WATUMISHI WA UMMA WALIOLILETEA SIFA TAIFA
![N1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/N1.jpg)
![N2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/N2.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zoaMf1osy30/UwO1c5g8RbI/AAAAAAAFN1Q/cbT1vwJG-ls/s72-c/unnamed+(49).jpg)
WAZIRI MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KUKAGUA NYUMBA ZINAZOJENGWA KWA AJILI YA WATUMISHI WA UMMA ENEO LA BUNJU B JIJINI DAR ES SALAAM