RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AWATUNUKU NISHANI WATUMISHI WA UMMA WALIOLILETEA SIFA TAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza kwa kuwa mwaminifu na kujitolea moja kwa moja kulipatia Taifa sifa kubwa katika Nyanja za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi na kijamii wakati wa sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano Ikulu leo Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akimvisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI KWA WATUMISHI WA UMMA NA WANANCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


10 years ago
MichuziRAIS JAKAYA KIKWETE ATUNUKU NISHANI MAOFISA 30 WA MAJESHI
10 years ago
VijimamboRais Kikwete atunuku Nishani Watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama
9 years ago
MichuziRAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akabidhiwa rasmi ofisi na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo Ikulu, Dar



9 years ago
Michuzi
RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AKABIDHIWA RASMI OFISI NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE LEO IKULU, DAR ES SALAAM



10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AAGANA NA WATUMISHI WA UMMA
11 years ago
MichuziRAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA YA NJE WA UJERUMANI DKT FRANK-WALTER STEIMEIER IKULU LEO