Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AAGANA NA WATUMISHI WA UMMA

 Katibu Mkuu Kiongozi na Mkuu wa Utumishi wa Umma Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete orodha ya zawadi mbalimbali kutoka katika taasisi za umma wakati wa sherehe ya watumishi wa umma kumuaga Rais iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana. Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dkt.Edward Hosea kwa niaba ya watumishi wa Umma akimkabidhi Tuzo Maalum Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake katika kuboresha Utumishi wa Umma nchini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AAGANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE


Balozi wa Tanzania Afrika ya Kusini Radhia Msuya na Balozi wa Tanzania nchini India Alan Kijazi wakimkabidhi zawadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa niaba ya mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchi za nje wakati wa hafla ya kutunuku tuzo kwa Mhe.Rais  iliyofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre(JNICC) jijini Dar es Salaam leo.   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi pamoja na wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AWATUNUKU NISHANI WATUMISHI WA UMMA WALIOLILETEA SIFA TAIFA

N1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza kwa kuwa mwaminifu na kujitolea moja kwa moja kulipatia Taifa sifa kubwa katika Nyanja za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi na kijamii wakati wa sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano Ikulu leo Jijini Dar es Salaam. N2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akimvisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI KWA WATUMISHI WA UMMA NA WANANCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya Muungano daraja la kwanza, Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la kwanza na Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la pili na Ushupavu Jumanne Juni 23, 2015 katika ukumbi mpya wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam.   Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA HATI ZA AHADI YA UADILIFU KWA VIONGOZI, WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI IKULU JIJINI DAR ES ES SALAAM LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi baada ya kuweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi,...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA JAPAN

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Japan Mhe.Masaki Okada ikulu jijini Dar es Salaam wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini.(picha na Freddy Maro)

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AAGANA NA WAFANYAKAZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani wakizindua kitabu cha taarifa za msingi kuhusu mahakama hiyo kwenye Ukumbi wa Kibo kwenye majengo ya Mahakama hiyo mjini Arusha leo.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuagana na viongozi na wafanyakazi wa mahakama hiyo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wafanyakazi na viongozi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu mjini Arusha leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aagana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu na kufanya mazungumzo na mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Bwana Philipe Dongier anayemaliza muda wake.Bwana Dongier alikwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA ALGERIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi waAlgeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, Ikulu jijini Dar esSalaam, Jumanne jioni January 13, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada yakumaliza muda wake wa kazi nchini.PICHA NA IKULU

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani