Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi kuwajengea watumishi nyumba

TAASISI ya Watumishi Housing inatarajia kuondoa kero kwa baadhi ya watumishi serikalini hasa wale wanaolipwa mshahara mdogo kustaafu huku wakiwa hawana nyumba wanazomiliki  kwa kujenga nyumba na  kisha kuwauzia kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali

4.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.

TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

DKT MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI HOUSE KUWEKA KIPAUMBELE WATUMISHI WA UMMA KUNUNUA NYUMBA ZA TAASISI HIYO

NAIBU Waziri wa nchi ofisi ya Rais utumishi wa umma na utawala bora.Dkt Mary Mwanjelwa amewataka watumishi House kuweka kipaumbele Kwa watumishi wa umma kuweza kupata nafasi ya kununua nyumba ambazo zinajengwa na taasisi hiyo ya umma.
 Amesema licha kutoa kipaumbele Kwa watumishi wa umma lakini pia asilimia nyingine lazima iende Kwa  watumishi ambao wapo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Dkt Mwanjelwa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kutembelea moja ya miradi...

 

9 years ago

Vijimambo

WATUMISHI HOUSING COMPANY, BENKI YA CRDB WATIA SAINI MKATABA WA MIKOPO YA NYUMBA KWA WATUMISHI WA UMMA


Mkurugenzi wa Benki ya CCRD, Dk.Charles Kimei (kulia) na Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dk. Fred Msemwa wakisaini mkataba wa mikopo ya nyumba kwa watumishi wa Umma Dar es Salaam leo asubuhi.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (kulia), akitia saini mkataba huo. Kutoka kushoto ni Chief Operation Officer wa WHCTZ, Weja Ng'olo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TMRC, Oscar Mgaya, Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dk.Fred Msemwa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Charles Kimei.
Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi Housing Company na Kibaha Education Centre waafikiana kushirikiana katika ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh Hawa Ghasia na Mwenyekiti wa Bodi ya Watumishi Housing Company (WHC) Bw. Adam Mayingu wakishuhudia Dr Cyiprian Mpemba (CEO- KEC) na Dr Fred Matola Msemwa (CEO- WHC) wakitia saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya WHC na Kibaha Education Centre(KEC)   ambapo KEC itatoa ardhi kwa ujenzi wa nyumba 1150 za watumishi wa umma katika eneo la Mailimoja mjini Kibaha.Waliosimama kusho ni Mwanasheria wa WHC Bw Joel Maeda....

 

10 years ago

Michuzi

MATEMBEZI YA ASUBUHI KWA WATUMISHI WA TAASISI MBALIMBALI MKOANI DODOMA

Kesho siku ya Jumamosi tarehe 25 Aprili, 2015, kuanzia saa 12:00 hadi saa 2:00 asubuhi, kutakuwa na zoezi la matembezi ya miguu kwa watumishi wa taasisi mbalimbali Mkoani Dodoma.

Matembezi hayo yataanzia viwanja vya bwalo la polisi Mjini Dodoma na kufuata uelekeo wa barabara ya Bunge la Tanzania, Barabara ya Dodoma Inn, Mtaa wa Nyerere na kurudi viwanja vya Bwalo la Polisi ambapo ndio kituo cha mwisho. Matembezi hayo yataongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA BENJAMIN MKAPA YAMWAGA AJIRA 307 ZA WATUMISHI WA AFYA.




Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akieleza jambo wakati wa kikao na Waandishi wa habari, kilichofanyika Jinjini Dodoma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na Waandishi wa habari.

Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Benjamin Mkapa Dkt. Ellen Mkondya akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari, katika Mkutano ulioongozwa na Waziri wa Afya leo Jijini Dodoma.



Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...

 

10 years ago

Habarileo

Ghasia ahimiza ujenzi nyumba za watumishi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tamisemi, Hawa GhasiaSERIKALI imetoa agizo kwa wakuu wote wa mikoa nchini, kuhakikisha kuwa kila halmashauri nchini inatenga eneo mahususi kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi, kwa kuwa nyumba ni mahitaji muhimu kwa kila mtumishi nchini.

 

9 years ago

Mwananchi

Watumishi: VAT iondolewe kwenye nyumba

Watumishi wa umma mkoani Morogoro wameiomba Serikali kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika uuzaji wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Kampuni ya Nyumba za Watumishi (WHC).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ghasia: Tengeni maeneo ujenzi nyumba za watumishi

WAZIRI wa Tamisemi, Hawa Ghasia, amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini, kutenga maeneo kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa nyumba za watumishi unaotarajiwa kuanzia Januari mwakani. Ghasia, alitoa agizo hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani