MATEMBEZI YA ASUBUHI KWA WATUMISHI WA TAASISI MBALIMBALI MKOANI DODOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-U97L_la9wkw/VTp1lyFlwjI/AAAAAAAHS_w/hDaSZimVtx0/s72-c/55ebTanga-regional-commissioner-Chiku-Gallawa.jpg)
Kesho siku ya Jumamosi tarehe 25 Aprili, 2015, kuanzia saa 12:00 hadi saa 2:00 asubuhi, kutakuwa na zoezi la matembezi ya miguu kwa watumishi wa taasisi mbalimbali Mkoani Dodoma.
Matembezi hayo yataanzia viwanja vya bwalo la polisi Mjini Dodoma na kufuata uelekeo wa barabara ya Bunge la Tanzania, Barabara ya Dodoma Inn, Mtaa wa Nyerere na kurudi viwanja vya Bwalo la Polisi ambapo ndio kituo cha mwisho. Matembezi hayo yataongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-EO3IjRcm2R0/UySbduC5YoI/AAAAAAAFTwI/mtygWZRdf4I/s72-c/unnamed.jpg)
MKUU WA MKOA WA DODOMA AONGOZA MATEMBEZI KWAAJILI YAKUAMASISHA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI MKOANI DODOMA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-EO3IjRcm2R0/UySbduC5YoI/AAAAAAAFTwI/mtygWZRdf4I/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CiRgicMenYI/UzxMTRDCI4I/AAAAAAAFX6k/tredpX-mT6k/s72-c/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
NANE (8) MBARONI KWA MAKOSA MBALIMBALI YA UHALIFU MKOANI DODOMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-CiRgicMenYI/UzxMTRDCI4I/AAAAAAAFX6k/tredpX-mT6k/s1600/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu nane kwa makosa mbalimbali ya uhalifu kufuatia msako uliofanyika tarehe 01/04/2014 maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME - SACP amesema tukio la kwanza alikamatwa SIMON S/O MTUNDU, miaka 51, Kabila Mhehe, mkulima na mkazi wa kijiji cha Kisisi Kata ya Kimagiyi Tarafa na Wilaya ya Mpwapwa, akimiliki silaha aina...
11 years ago
Dewji Blog22 Apr
Matukio mbalimbali yaliyojiri leo asubuhi mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akibadlishana mawazo Mjumbe wa Bunge hilo Rashid Mtuta (kushoto) leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.
Naibu Katibu wa Bunge Maalum ambaye ni Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashillah (mwenye miwani) akibadlishana mawazo na Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika ukumbi wa...
11 years ago
Dewji Blog14 Aug
Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.
TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
NSSF yaendesha kongamano la Waajiri wa Taasisi mbalimbali za Kiserikali na zisizo za Kiserikali Mkoani Tanga!
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati akifungua kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika jana mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach, (Picha na Mwandishi Wetu).
Meneja Matekelezo na Kumbukumbu wa NSSF Makao Makuu, Maryam Muhaji akizungumza kwenye kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za...
5 years ago
MichuziDKT MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI HOUSE KUWEKA KIPAUMBELE WATUMISHI WA UMMA KUNUNUA NYUMBA ZA TAASISI HIYO
Amesema licha kutoa kipaumbele Kwa watumishi wa umma lakini pia asilimia nyingine lazima iende Kwa watumishi ambao wapo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Dkt Mwanjelwa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kutembelea moja ya miradi...
5 years ago
MichuziPICHA MBALIMBALI ZIKIONESHA RAIS MAGUFULI ALIPOWASI CHATO MKOANI GEITA AKITOKEA DODOMA.
Mhe. Rais Magufuli ametua katika uwanja wa ndege wa Chato na kisha kuelekea nyumbani kwake katika kitongoji cha Lubambangwe, Kijiji cha Mlimani Wilayani Chato.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-L2awlcYTX7w/VmQ0IzSPrEI/AAAAAAAIKcM/z6n5i3gpsvc/s72-c/IMG_6770.jpg)
WATUMISHI WAANDAMIZI SABA WA TANESCO WAFUKUZWA KAZI KWA TUHUMA MBALIMBALI
![](http://2.bp.blogspot.com/-L2awlcYTX7w/VmQ0IzSPrEI/AAAAAAAIKcM/z6n5i3gpsvc/s640/IMG_6770.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-TmnFqaUt054/VmQ0KLLPkrI/AAAAAAAIKcU/Eiz_MdQZS_8/s640/IMG_6776.jpg)