Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUU WA MKOA WA DODOMA AONGOZA MATEMBEZI KWAAJILI YAKUAMASISHA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI MKOANI DODOMA LEO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto), akikata utepe kufungua matembezi kwa ajili ya maji, yaliolenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.yaliofanyika katika kata ya Chibelela wilayani Bahi  Machi 15, 2014 (katikati), ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa, na kulia Mwenyekiti wa Kijiji cha Chibelela, Dorice Mkwawa.  KWA PICHA ZAIDI NA PHILEMON SOLOMON WA  DODOMA BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AONGOZA VIONGOZI MKOA WA DODOMA KUKAGUA UJENZI WA SHULE YA WASICHANA YA BUNGE MKOANI DODOMA

 Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Dodoma, kamati ya ujenzi wa Shule wakati walipotembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha Tano na Sita iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Patrobas Katambi, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Ndg. Godfrey Kunambi, Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge na Katibu Tawala Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 25, 2015 MKOANI DODOMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA WAZIRI MKUU

 TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA



Mkoa wa Dodoma

Anwani ya Simu REGCOM

Simu Nambari: 2324343/2324384

E-Mail No. ras@dodoma.go.tz

Fax No. +255 026 2320046






    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa,

                            S.L.P.  914,

                              DODOMA.
Ndugu wananchi wa Mkoa wa Dodoma, tarehe 25 Oktoba, 2015 ni siku ya Uchaguzi Mkuu hapa nchini; ambapo, Watanzania wale wenye sifa za kupiga kura na waliojiandikisha, watapata...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA AKAGUA UJENZI WA MIRADI YA MAJI KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA, APIGA MARUFUKU UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (Mb) katikati akitoa maelekezo kwa watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga na Mkandarasi anaejenga mradi wa maji wa kijiji cha Malonje ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi za Serikali za kufikisha huduma muhimu kwa wananchi. Mradi huo wa maji ambao unaelekea kukamilika umefadhiliwa na benki ya dunia kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa gharama ya Tsh. Milioni 279. Katika maagizo aliyoyatoa ni pamoja na kupiga marufuku...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri asisitiza utunzaji vyanzo vya maji nchini

SERIKALI imesisitiza umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji kwa faida ya ustawi wa wananchi na maendeleo ya uchumi wa taifa kwa ujumla. Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni mjini hapa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI DODOMA KUHUSU UCHAGUZI MKUU

  Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafuu Chiku Gallawa akifanunua jambo alipokuwa akifungua mkutano wa chama cha waandishi wa habari na wadau mbalimbali uliofanyika leo mjini Dodoma Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoani Dodoma, Bw. Habel Chidawal akizungumza jambo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa mkoa kufungua mkutano huo uliofanyika leo Mjini Dodoma
 Mwandishi wa kituo cha Televisheni ya Chanel Ten, Bw. Kuringe Mongi akitoa mada kuhusu Mahusiano kati ya waandishi wa habari na wadau...

 

11 years ago

GPL

MKOA WA DODOMA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BODI YA HUDUMA ZA MAKTABA NCHINI MKOANI DODOMA‏


 
 Mkuu wa Mkoa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi (mwenye kilemba kichwani) akifanya ukaguzi wa vitabu na nyaraka za taarifa mbalimbali kwa ajili ya wasomaji , pembeni yake ni Mkutubi msaidizi wa maktabaa hiyo Ndg. Judith Lugongo, ukaguzi huo ulifanyika mapema Leo hii wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya bodi ya huduma za maktaba mkoa wa Dodoma.…
...

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA DAVID MISIME - SACP AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WAMILIKI WA HOTELI NA NYUMBA ZA KULALA WAGENI MKOANI DODOMA

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME (SACP) amewataka wamiliki wa Hotel na Nyumba za kulala wageni (Guest House) kuhakikisha kwamba wageni wanaotarajia kuingia mkoani humo ambao ni wajumbe wa bunge la Katiba linalotarajia kuanza tarehe 18/02/2014 wanakuwa salama katika kipindi hiki.   Amesema hayo katika ukumbi wa Dodoma Hotel alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara ambao ni wamiliki wa Hotel...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani