KAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA DAVID MISIME - SACP AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WAMILIKI WA HOTELI NA NYUMBA ZA KULALA WAGENI MKOANI DODOMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-AMMV7b4zWQM/UvyKszgDscI/AAAAAAAFMwM/-D0rJf9WnKA/s72-c/d1.jpg)
Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME (SACP) amewataka wamiliki wa Hotel na Nyumba za kulala wageni (Guest House) kuhakikisha kwamba wageni wanaotarajia kuingia mkoani humo ambao ni wajumbe wa bunge la Katiba linalotarajia kuanza tarehe 18/02/2014 wanakuwa salama katika kipindi hiki. Amesema hayo katika ukumbi wa Dodoma Hotel alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara ambao ni wamiliki wa Hotel...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF WATOA SEMINA MAALUM KWA WAMILIKI WA HOTELI NA NYUMBA ZA WAGENI (GUEST HOUSES) MKOANI DODOMA
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-He6qpWS2SFg/VVSa0RogBqI/AAAAAAAHXSE/H8y9ftjHeQw/s72-c/Kamanda%2Bwa%2BPolisi%2BMkoa%2Bwa%2BDodoma%2BDAVID%2BMISIME%2B-%2BSACP%2Bakitoa%2Belimu%2Bkatika%2Bmkutano%2Bhuo.png)
KAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA AONGEA NA VIONGOZI WA TARAFA YA DODOMA MJINI KUHUSIANA NA HALI YA ULINZI NA USALAMA PAMOJA NA MATISHIO YA UGAIDI MKOANI HUMO
![](http://3.bp.blogspot.com/-He6qpWS2SFg/VVSa0RogBqI/AAAAAAAHXSE/H8y9ftjHeQw/s640/Kamanda%2Bwa%2BPolisi%2BMkoa%2Bwa%2BDodoma%2BDAVID%2BMISIME%2B-%2BSACP%2Bakitoa%2Belimu%2Bkatika%2Bmkutano%2Bhuo.png)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5kCbB-KJM40/VVSa3pdcjOI/AAAAAAAHXSU/CpL0_3lU44Q/s640/Balozi%2BMstaafu%2BJOB%2BLUSINDE%2BMwenyekiti%2Bwa%2BBaraza%2Bla%2Bwazee%2BMkoa%2Bwa%2BDodoma%2B%2Bakiongea%2Bjambo..png)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Vf9oZK8XJ7U/VVSa17NFX7I/AAAAAAAHXSM/WMxkPK9i8rg/s640/Padre%2BTHOMAS%2BV.%2BLALI%2BKatibu%2BMkuu%2Bjimbo%2Bkuu%2BDodoma%2Bakizungumza%2Bkatika%2Bmkutano%2Bhuo..png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-m6IL4Qo79Bk/VVSa79KC3iI/AAAAAAAHXSc/qASL81mIyuI/s640/Sheke%2BAHMAD%2BSAID%2Bakizungumza%2Bkatika%2Bmkutano%2Bhuo.png)
Na Lakia Ndwellah wa Jeshi la Polisi Dodoma
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amewataka viongozi wa Tarafa ya Dodoma mjini kuwaelimisha...
11 years ago
MichuziKAMANDA WA POLISI DODOMA AKUTANA NA KUONGEA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA TARAFA YA DODOMA MJINI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema jukumu la kwanza la serikali za mitaa ni kuwahakikishia wananchi wake usalama, amani, utulivu na utengamano hivyo ni jukumu la watendaji wa kata, mwenyekiti wa Mitaa na vitongoji kusaidia kuimarisha ulinzi katika maeneo yetu.
Amesema hayo alipokutana na Viongozi wa mbalimbali wa Tarafa ya Dodoma mjini katika Ukumbi wa Polisi Dodoma...
9 years ago
IPPmedia05 Jan
Dodoma Regional Police Commander (RPC), Mr David Misime
IPPmedia
IPPmedia
At least eight people including an aide to Inspector General of Police (IGP) Ernest Mangu were killed in floods on Sunday. Regional Police Commander (RPC) David Misime confirmed the tragic incident saying it occurred in the Kibaigwa area of Kongwa ...
IGP aide, family die as car swept by floodsDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)
Tanzania: Rain Water Sweeps Family of Four, Driver,House...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-g101UTnd1hg/U0JJrWVa91I/AAAAAAAFZGw/qxZ0sDK8O30/s72-c/unnamed+(58).jpg)
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, SACP Deusdedit Nsimeki afanya ukaguzi wilayani simanjiro
![](http://3.bp.blogspot.com/-g101UTnd1hg/U0JJrWVa91I/AAAAAAAFZGw/qxZ0sDK8O30/s1600/unnamed+(58).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-EIJMCJYKnak/U0JJrjihNJI/AAAAAAAFZG0/WbYkHnkj40U/s1600/unnamed+(59).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5NaI_n8sVxM/U0JJrwK2UMI/AAAAAAAFZG4/ruBi6AGjG-8/s1600/unnamed+(60).jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9JlL1qf062o/Xmt7LfuwnhI/AAAAAAALi5o/zwaSesFl_CscV67oqXAb0QQgFJV6rIspACLcBGAsYHQ/s72-c/Pic-1AA-768x630.jpg)
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA DODOMA, MKURUGENZI HALMASHAURI YA TEMEKE JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-9JlL1qf062o/Xmt7LfuwnhI/AAAAAAALi5o/zwaSesFl_CscV67oqXAb0QQgFJV6rIspACLcBGAsYHQ/s640/Pic-1AA-768x630.jpg)
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akutana na kuzungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge ofisini kwake Jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/Pic-2AA-1-1024x713.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/Pic-3AAA-1-1024x643.jpg)
11 years ago
Michuzi13 Jun
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AWATAKA MADEREVA NA WAMILIKI WA DALALDALA KUACHA MGOMO
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-x-ztBoTMjNQ/Uzwqey87GKI/AAAAAAAAoL0/ea-0EswdmBc/s1600/2.jpg)
MKOA WA DODOMA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BODI YA HUDUMA ZA MAKTABA NCHINI MKOANI DODOMA