WATUMISHI WAANDAMIZI SABA WA TANESCO WAFUKUZWA KAZI KWA TUHUMA MBALIMBALI
![](http://2.bp.blogspot.com/-L2awlcYTX7w/VmQ0IzSPrEI/AAAAAAAIKcM/z6n5i3gpsvc/s72-c/IMG_6770.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Felschimi Mramba akizungumza na waandishi habari juu ya mikakati mbalimbali ya uzalishaji umeme katika mazungumzo yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji (Uzalishaji na Huduma kwa Mteja), Mhandisi Sophia Mgonja, Kushoto ni Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uzalishaji Umeme, Nazir Kachwamba, kushoto kutoka kulia ni Meneja Uhusiano Adrian Severine.
Waandishi habari wakimisikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi Felschimi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Jul
Watumishi 1,200 wafukuzwa kazi
JUMLA ya watumishi 1,205 wamechukuliwa hatua mbalimbali na Serikali, ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kazi, kwa makosa ya ubadhirifu wa fedha za umma, kati ya mwaka 2010/11 na 2014/15.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-iKklTQRdFHs/XuOgj_-2gqI/AAAAAAALtng/6bvdMD_H6CU8da__CoHKCO153VNRnhmOwCLcBGAsYHQ/s72-c/index%25281%2529.jpg)
TAKUKURU KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WATUMISHI SABA TPA ,WAKILI WA KUJITEGEMA KWA TUHUMA ZA MAKOSA YA RUSHWA, UHUJUMU UCHUMI NA WIZI WA SH.BILIONI NANE
![](https://1.bp.blogspot.com/-iKklTQRdFHs/XuOgj_-2gqI/AAAAAAALtng/6bvdMD_H6CU8da__CoHKCO153VNRnhmOwCLcBGAsYHQ/s1600/index%25281%2529.jpg)
Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WATUMISHI saba wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA) pamoja na Wakili wa Kujitegemea kutoka Kampuni ya Mnengele &Associates na ELA Advocatee watafikishwa mahakamani wakati wowote kwa kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya rushwa na uhujumu uchumi.
Hayo yameelezwa leo Juni 12 mwaka 2020 na Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza Daud Ndyamukama kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari ambapo amefafanua watumishi hao tayari...
11 years ago
Habarileo29 Jul
Walimu 4 wafukuzwa kazi kwa mapenzi na wanafunzi
WALIMU wanne wa kiume wa Shule ya Sekondari Mwembetogwa ya mjini Iringa, wamefukuzwa kazi baada ya kubainika wakijihusisha na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi.
11 years ago
GPLPOLISI WANNE WAFUKUZWA KAZI KWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UHALIFU
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Saba wakamatwa kwa tuhuma za ujambazi Z’bar
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Wafanyakazi Tanesco, Wachina kizimbani kwa tuhuma za ufisadi
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Saba mbaroni kwa tuhuma za kuchoma makanisa Bukoba
10 years ago
Mwananchi10 Feb
NYANZA: Saba wanusurika kufa kwa tuhuma za kishirikina
9 years ago
StarTV29 Dec
Waziri Muhongo atoa siku saba kwa TANESCO
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ametoa siku saba kwa shirika la ugavi wa Umeme nchini TANESCO kuunganisha umeme katika kituo cha ushuru wa forodha kilichopo kwenye mpaka wa Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania ambacho kimekuwa kikitegemea umeme kutoka nchini jirani ya Rwanda.
Waziri Muhongo ametoa maagizo hayo baada ya kupata taarifa kutoka kwa Maafisa wa forodha wa kituo hicho ambao wamemuelezea changamoto ya mara kwa mara ya ukosefu wa umeme...