Waziri Muhongo atoa siku saba kwa TANESCO
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ametoa siku saba kwa shirika la ugavi wa Umeme nchini TANESCO kuunganisha umeme katika kituo cha ushuru wa forodha kilichopo kwenye mpaka wa Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania ambacho kimekuwa kikitegemea umeme kutoka nchini jirani ya Rwanda.
Waziri Muhongo ametoa maagizo hayo baada ya kupata taarifa kutoka kwa Maafisa wa forodha wa kituo hicho ambao wamemuelezea changamoto ya mara kwa mara ya ukosefu wa umeme...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Maswali saba kwa Waziri Muhongo kuhusu ufisadi IPTL
IFAHAMIKE kwamba ufisadi katika Akaunti ya Baraza la Usuluhishi la Migogoro ya Kibiashara (Escrow) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), msingi wake ni mkataba wa kifisadi wa IPTL uliosainiwa mwaka...
11 years ago
Mwananchi25 Jun
Lowassa atoa siku saba kwa H/Monduli
9 years ago
Mwananchi25 Dec
DC atoa siku saba kwa Ushirika Mpanda kati
9 years ago
StarTV04 Dec
Rais Magufuli atoa siku saba kwa wafanyabiashara wakwepaji kodi
Rais John Magufuli ametoa siku saba kwa wafanyabiashara waliokuwa wamekwepa kulipa kodi kwa namna yoyote ile kuhakikisha wamelipa malimbikizo yao ndani ya siku hizo badala ya kuendelea kuficha makontena.
Amesema baada ya siku hizo saba kuisha, wafanyabiashara watakaokamatwa hawajalipa kodi kwa mujibu wa taratibu watachukuliwa hatua za kisheria ili kukomesha vitendo hivyo kwa manufaa ya Taifa.
Rais wa awamu ya Tano, Dkt John Magufuli ametoa wito kwa wafanyabiashara kutoka sekta binafsi na...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/2SyIV2fY7V0/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bcR5gI3u_Bc/XqBwJ7w5nCI/AAAAAAALn2M/SBP5e8FfrmEd1OFPBtogYY8yGCiQck44QCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200422-WA0049.jpg)
DC ATOA SIKU SABA KWA MHANDISI WA JIJI LA ARUSHA KUWEKA MAJI KWENYE JENGO LA KITUO CHA AFYA MURIET
![](https://1.bp.blogspot.com/-bcR5gI3u_Bc/XqBwJ7w5nCI/AAAAAAALn2M/SBP5e8FfrmEd1OFPBtogYY8yGCiQck44QCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200422-WA0049.jpg)
Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama ya Jiji la Arusha wakikagua madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini jijini Arusha Jana picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/IMG-20200422-WA0046.jpg)
Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akiongea mara baada ya kukagua ujenzi wa madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini na kutoa siku Saba kwa mhandisi kuhakikisha wanaweka maji kwenye kituo Cha Afya huku akipongeza Ujenzi wa madarasa hayo na kutaka yakamilike kwa wakati picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/IMG-20200422-WA0043.jpg)
Afisa elimu...
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Naibu waziri atoa siku 14 kwa TRA
9 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO ATEMA CHECHE, Awataka TANESCO kufanya kazi
9 years ago
StarTV04 Jan
Naibu waziri Jaffo atoa siku 28 kufunguliwa kwa Majengo Ya Upasuaji Nzega
Naibu Waziri ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa Selemani Jafo ,ameiagiza Halmashauri ya wilaya ya Nzega Mkoani Tabora, ifikapo January 31 mwaka huu majengo mawili ya upasuaji katika vituo vya Afya Bukene na Itobo yawe yamefunguliwa tayari kwa kuanza kutoa huduma kwa wananchi.
Majengo hayo yenye zaidi ya miaka miwili tangu kukamilika kwake bado wananchi wamendelea kusota kuifuata huduma ya Afya umbali wa kilometa 15 katika ...