Lowassa atoa siku saba kwa H/Monduli
Monduli. Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameipa wiki moja Halmashauri ya Wilaya ya Monduli kuzipatia ardhi kaya 63 za Kijiji cha Nanja, ambazo zimetakiwa kupisha eneo la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wilayani hapa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV29 Dec
Waziri Muhongo atoa siku saba kwa TANESCO
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ametoa siku saba kwa shirika la ugavi wa Umeme nchini TANESCO kuunganisha umeme katika kituo cha ushuru wa forodha kilichopo kwenye mpaka wa Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania ambacho kimekuwa kikitegemea umeme kutoka nchini jirani ya Rwanda.
Waziri Muhongo ametoa maagizo hayo baada ya kupata taarifa kutoka kwa Maafisa wa forodha wa kituo hicho ambao wamemuelezea changamoto ya mara kwa mara ya ukosefu wa umeme...
9 years ago
Mwananchi25 Dec
DC atoa siku saba kwa Ushirika Mpanda kati
9 years ago
StarTV04 Dec
Rais Magufuli atoa siku saba kwa wafanyabiashara wakwepaji kodi
Rais John Magufuli ametoa siku saba kwa wafanyabiashara waliokuwa wamekwepa kulipa kodi kwa namna yoyote ile kuhakikisha wamelipa malimbikizo yao ndani ya siku hizo badala ya kuendelea kuficha makontena.
Amesema baada ya siku hizo saba kuisha, wafanyabiashara watakaokamatwa hawajalipa kodi kwa mujibu wa taratibu watachukuliwa hatua za kisheria ili kukomesha vitendo hivyo kwa manufaa ya Taifa.
Rais wa awamu ya Tano, Dkt John Magufuli ametoa wito kwa wafanyabiashara kutoka sekta binafsi na...
5 years ago
MichuziDC ATOA SIKU SABA KWA MHANDISI WA JIJI LA ARUSHA KUWEKA MAJI KWENYE JENGO LA KITUO CHA AFYA MURIET
Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama ya Jiji la Arusha wakikagua madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini jijini Arusha Jana picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akiongea mara baada ya kukagua ujenzi wa madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini na kutoa siku Saba kwa mhandisi kuhakikisha wanaweka maji kwenye kituo Cha Afya huku akipongeza Ujenzi wa madarasa hayo na kutaka yakamilike kwa wakati picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Afisa elimu...
10 years ago
VijimamboWANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO
5 years ago
MichuziRC PWANI ATOA SIKU SABA UONGOZI WA HALMASHAURI YA BAGAMOYO KUKAMILISHA HOJA 38 ZA CAG
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza wakati wa kikao maalumu cha baraza la madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kilichoandaliwa kwa ajili ya kujadili majibu ya hoja za mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali CAG
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akisoma kwa umakini ripoti ya hoja mbali mbali ambazo zimeandikwa katika kitabu maalumu na mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali wakati wa kikao hicho cha baraza la madiwani wa halmashauri ya Wilaya...
10 years ago
VijimamboWAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule...
11 years ago
Mwananchi13 Jun
TRL yasitisha safari za treni kwa siku saba
10 years ago
Mwananchi21 Apr
Zitto atoa masharti kwa Lowassa