Zitto atoa masharti kwa Lowassa
Mwanza. Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe amesema iwapo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa anataka kugombea urais kupitia chama hicho afuate taratibu za chama ikiwamo kutangaza mali zake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Kocha Yanga atoa masharti
KOCHA wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga Hans Pluijm ameikataa kambi ya Zanzibar ameutaka uongozi kutafuta kambi hapa Dar es Salaam kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao wa kwanza wa ligi Kuu dhidi ya Coastal Union Jumapili katika Uwanja wa Taifa.
Awali uongozi wa Yanga ulitangaza kwenda kuweka kambi visiwani Zanzibar na kucheza mchezo mmoja wa kirafiki ili kujiweka sawa na Ligi Kuu Tanzania Bara.
Katibu Mkuu wa Yanga Jonas Tiboroha alisema jana kuwa kocha wao hameghairi...
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Kwa Zitto sawa, ila kwa Lowassa hapana
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Kocha mpya Yanga atoa masharti matatu
KOCHA mpya wa Yanga, Mholanzi Hans Van Der Pluyjm, amewataka wachezaji wa timu hiyo kuzingatia mambo matatu muhimu katika kupigania mafanikio ya timu hiyo dimbani ambayo ni nidhamu, upendo na...
11 years ago
Mwananchi25 Jun
Lowassa atoa siku saba kwa H/Monduli
9 years ago
VijimamboRaila Odinga Ampongeza Magufuli, Atoa Ushauri Kwa Lowassa
Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na Kushindwa na Kenyatta.....Quote: What we have, what we wish we had - ambitions fulfilled, ambitions disappointed, investments won, investments lost, elections won, elections lost - these things may...
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya corona: Museveni atoa masharti ya kuwadhibiti madereva wa malori Uganda
9 years ago
CHADEMA BlogLowassa awapa masharti magumu polisi