Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha mpya Yanga atoa masharti matatu

KOCHA mpya wa Yanga, Mholanzi Hans Van Der Pluyjm, amewataka wachezaji wa timu hiyo kuzingatia mambo matatu muhimu katika kupigania mafanikio ya timu hiyo  dimbani ambayo ni nidhamu, upendo na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Tanzania

Kocha Yanga atoa masharti

KOCHA wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga Hans Pluijm ameikataa kambi ya Zanzibar ameutaka uongozi kutafuta kambi hapa Dar es Salaam kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao wa kwanza wa ligi Kuu dhidi ya Coastal Union Jumapili katika Uwanja wa Taifa.

Awali uongozi wa Yanga ulitangaza kwenda kuweka kambi visiwani Zanzibar na kucheza mchezo mmoja wa kirafiki ili kujiweka sawa na Ligi Kuu Tanzania Bara.

Katibu Mkuu wa Yanga Jonas Tiboroha alisema jana kuwa kocha wao hameghairi...

 

11 years ago

GPL

KOCHA MPYA YANGA APEWA MASHARTI

Kocha mkuu wa Yanga  SC, Hans van Der Pluijm. Na Amisa Mmbaga UONGOZI wa Klabu ya Yanga umempa masharti kocha mpya wa timu yao, Hans Van Der Pluijm kuhusu kudhibiti nidhamu ya wachezaji pindi wanapokuwa kambini na uwanjani ili kuweza kukifikisha mbali kikosi hicho. Yanga waliondoka nchini hivi karibuni kuelekea Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika. Makamu Mwenyekiti...

 

11 years ago

GPL

Yanga wauziwa beki kwa masharti matatu

Na Sweetbert Lukonge
WAKATI uongozi wa Yanga ukiwa katika harakati za kutaka kumsajili beki wa kulia wa Mtibwa Sugar, Hamis Kessy, umepewa masharti matatu ya kufanya ili uweze kukamilisha usajili huo. Yanga inamhitaji beki huyo ambaye msimu uliopita alifanya vizuri zaidi akiwa na kikosi cha Mtibwa Sugar ili iweze kuimarisha safu yake ya ulinzi kwa ajili ya michuano ya ligi kuu na ile ya kimataifa ambayo itashiriki mwakani....

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto atoa masharti kwa Lowassa

Mwanza. Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe amesema iwapo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa anataka kugombea urais kupitia chama hicho afuate taratibu za chama ikiwamo kutangaza mali zake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Museveni atoa masharti ya kuwadhibiti madereva wa malori Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya ya kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada ya zaidi ya madereva 20 kupatikana na ugonjwa wa Covid-19.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Stars atoa dozi

Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij amesema ameandaa dozi ya mazoezi ya mara mbili kwa siku kukipa makali kikosi chake kinachojiandaa kuikabili Benin, Jumapili.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa City atoa hofu mashabiki

Licha ya kupoteza mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema kuwa hajakatishwa tamaa na matokeo hayo na badala yake wataendelea na kasi yao ili wachukue ubingwa kwa mara ya kwanza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani