Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa Zitto sawa, ila kwa Lowassa hapana

>Baada ya Chadema kuwavua nyadhifa zao aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Dk Kitila Mkumbo na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba, uamuzi huo ulilalamikiwa na baadhi ya watu kuwa haukufuata demokrasia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA KWENDA UKAWA SAWA ILA WANASIASA SIYO WA KUWAAMINI!

Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa.
HAKUNA adui wala rafiki wa kudumu katika siasa. Huu ni msemo ulioasisiwa na mwanadiplomasia wa Israel, Avil Primor ambaye amepata kufanya kazi katika nchi mbalimbali duniani, ikiwemo ubalozi wa nchi yake nchini Ujerumani (1993-99) na katika Umoja wa Ulaya (1987-91).

Alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumzia urafiki kati ya nchi yake na Iran ulivyokuwa. Kabla ya mapinduzi ya nchi hiyo ya Kiarabu ambayo ni taifa la Kiislamu mwaka 1979 yaliyomuweka...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto atoa masharti kwa Lowassa

Mwanza. Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe amesema iwapo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa anataka kugombea urais kupitia chama hicho afuate taratibu za chama ikiwamo kutangaza mali zake.

 

10 years ago

GPL

Msuva sawa, ila Makata, Kado mhh…!

Simon Msuva. Nicodemus Jonas na Ibrahim Musa
TUZO ya Kocha Bora wa msimu uliopita ambaye ni Mbwana Makata na Kipa Bora Shaaban Kado, imeonekana kutokubalika na wadau wa soka nchini, lakini wakasema: “Kwa Msuva poa tu.” Wadau hao wamebariki winga wa Yanga na Taifa Stars, Simon Msuva kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora akiwapiku Mrisho Ngassa na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’. Msuva pia ametwaa Tuzo ya Mfungaji...

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

10 years ago

Michuzi

MTEMVU: CCM ITAUPUKUTISHA UPINZANI TEMEKE UCHAGUZI WA MITAA, SIYO KWA NGUVU ILA KWA MATUNDA YA UTEKELEZAJI ILANI

Mbunge wa Temeke, Abbas  Mtemvu akihutubia mkutano wa hadhara uliofabyika kwenye Uwanja wa shule ya Sokoine, Temeke jijini Dar es Salaam, jana, Agosti 30, 2014.Mtemvu akishangiliwa wakati akihutubia mkutano huo wa hadharaMbunge wa Temeke Abbas Mtemvu akimpa kadi ya Uanachama wa UWT Maridha Rajabu wakati wa mkutano huo, wanachama wapya 45 wa jumuia hiyo walipewa kadiMbunge wa temeke,  Mtemvu akimtuza msanii Omari Tego baada ya kukunwa na msanii huo kwa kuimba wimbo maalum wa CCM wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) wakabidhi Msaada wa Vitabu kwa Taasisi 48 za Elimu nchini.

 Mwenyekiti  wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF), Mama Anna Mkapa akitoa neno la shukrani kwa wahisani wakati wa hafla ya kukabidhi  vitabu kwa ajili ya kusaidia  shule 45 na vyuo 3 vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini  Marekani leo jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bibi.Paulina Mkonongo na katika ni mwakilishi wa Balozi wa Nigeria nchini Bibi. Abiola Delupe. Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF),...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nitapiga kura ya hapana kwa Katiba

BAADA ya kufuatilia mwenendo mzima wa Bunge Maalum la Katiba nimejiridhisha kwamba katiba iliyopendekezwa ilipitishwa kwa hila kwa kuzingatia matakwa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kutokana na mazingira ya upitishwaji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kwa katiba hii kura yangu ni hapana

BAADA ya kufuatilia mwenendo mzima wa Bunge Maalum la Katiba, nimejiridhisha kwamba nikizingatia mimi ni mkweli na nina uhuru wa kupiga kura ya maoni, ya kwangu  ni “hapana, hapana, hapana”....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani