Msuva sawa, ila Makata, Kado mhh…!

Simon Msuva. Nicodemus Jonas na Ibrahim Musa TUZO ya Kocha Bora wa msimu uliopita ambaye ni Mbwana Makata na Kipa Bora Shaaban Kado, imeonekana kutokubalika na wadau wa soka nchini, lakini wakasema: “Kwa Msuva poa tu.†Wadau hao wamebariki winga wa Yanga na Taifa Stars, Simon Msuva kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora akiwapiku Mrisho Ngassa na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’. Msuva pia ametwaa Tuzo ya Mfungaji...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
BANZA: NILIANZA SIGARA, BANGI, UNGA ILA SASA…
11 years ago
GPL
SIYO DHAMBI KUMPENDA MPENZI WA MWENZAKO ILA FANYA HIVI…
10 years ago
Vijimambo31 Jul
LOWASSA KWENDA UKAWA SAWA ILA WANASIASA SIYO WA KUWAAMINI!

HAKUNA adui wala rafiki wa kudumu katika siasa. Huu ni msemo ulioasisiwa na mwanadiplomasia wa Israel, Avil Primor ambaye amepata kufanya kazi katika nchi mbalimbali duniani, ikiwemo ubalozi wa nchi yake nchini Ujerumani (1993-99) na katika Umoja wa Ulaya (1987-91).
Alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumzia urafiki kati ya nchi yake na Iran ulivyokuwa. Kabla ya mapinduzi ya nchi hiyo ya Kiarabu ambayo ni taifa la Kiislamu mwaka 1979 yaliyomuweka...
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Kwa Zitto sawa, ila kwa Lowassa hapana
11 years ago
GPL
KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2
11 years ago
GPL
KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Kado kukosa mechi zilizosalia Ligi Kuu
KIPA mahiri wa timu ya Coastal Union ya Tanga, Shaaban Kado, atakosa mechi za Ligi Kuu Bara zilizobaki kutokana na kufungwa plasta ngumu (POP) mkono wake wa kushoto. Kado alipata...
10 years ago
Mwananchi25 Oct
Kibarua cha Makata, Kagera kwisha kazi