WANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO

Akizungumza na waandishi wa habari aliyekuwa katibu wa umoja wa wanawake wa {UWT} chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Anna Mathayo Chacha alisema kuwa lowasa ndie chaguo lao kwa kuwa ni kiongoziwanayeamini kuwa ataivusha nchi kutoka hapa ilipo ikiwa ni pamoja na kukipa heshima na nguvu chama.
Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Daniel Kegocha ambaye pia ni diwani aliomba chama hicho kuona umuhimu wa kumpitisha jina la Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi07 Dec
Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.


Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...
10 years ago
Vijimambo
WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.

Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.

10 years ago
Mwananchi11 May
UCHAGUZI CCM 2015: Edward Lowassa: Mbunge wa Monduli
10 years ago
Vijimambo
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Ahudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi Zanzibar



10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo25 Oct
EDWARD LOWASSA NAYE APIGA KURA YAKE HUKO MONDULI

11 years ago
Michuzi
MH. EDWARD LOWASSA AWAANDALIWA FUTARI WAUMINI WA KIISLAM WILAYANI MONDULI




10 years ago
MichuziWAKULIMA WA SHAYIRI MONDULI WAELEZEA MAFANIKIO YAO KWA TBL
Baadhi ya Wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha Shayiri wakiwa katika picha ya pamoja na Ofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha anayesimamia wakulima katika eneo hilo la Monduli Juu, wilayani Monduli mkoani Arusha.

10 years ago
GPLALHAJ ALI HASSAN MWINYI NA MHE. EDWARD LOWASSA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 20 YA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA MAASAI, MONDULI