UKAWA YAMUALIKA RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU,EDWARD LOWASSA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi07 Dec
Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe Edward LowassaMsemaji wa Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa, Bw. Aboubakary Liongo---- Ofisi ya mbunge na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana ilikanusha vikali uvumi uliozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mbunge huyo wa Monduli amelazwa nchini Ujerumani.
Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...
Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...
10 years ago
VijimamboWANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO
Akizungumza na waandishi wa habari aliyekuwa katibu wa umoja wa wanawake wa {UWT} chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Anna Mathayo Chacha alisema kuwa lowasa ndie chaguo lao kwa kuwa ni kiongoziwanayeamini kuwa ataivusha nchi kutoka hapa ilipo ikiwa ni pamoja na kukipa heshima na nguvu chama.Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Daniel Kegocha ambaye pia ni diwani aliomba chama hicho kuona umuhimu wa kumpitisha jina la Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa...
10 years ago
VijimamboWAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.
Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea.
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule...
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MSTAAFU AMKABIDHI RASMI OFISI WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimkaribisha Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda ambaye Novemba 30,2015 alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kukabidhi Ofisi. Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015 kukabidhi Ofisi. Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri...
10 years ago
MichuziMHE.EDWARD LOWASSA AKARIBISHWA RASMI KUJIUNGA NA UKAWA.,MGOMBEA URAIS KUTANGAZWA AGOSTI 4
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi Mhe.James Mbatia (pichani kati) akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo mchana kwenye makao makuu ya chama cha CUF jijini Dar,akiwa sambamba na baadhi ya viongozi wengine wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),pichani kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA,Mhe,Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha CUF-Prof.Ibrahim Lipumba na wa pili kulia ni Mwenyekitiwa chama cha NLD Dkt.Emmanuel Makaidi.Katika mkutano huo ulizungumzia...
10 years ago
Michuziwaziri mkuu mstaafu,mh sumaye mgeni rasmi mahafali ya 13 ya RCT.
Waziri mkuu mstaafu Frederic Sumaye akihutubia katika mahafali ya kumi na tatu ya chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Royal yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Mawela Sinza. Wadau wa sekta ya habari wakiwa wamepozi baada ya kuhitimu katika chuo cha RCT,pichani ni baadhi ya wahitimu kutoka Guardian wakiwa na mpigapicha mkongwe Juma Dihule. pichani ni baadhi ya wahitimu.
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRECK SUMAYE AONDOKA CCM NA KUJIUNGA NA UKAWA
Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo mchana. Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Dar es Salaam leo mchana, baada ya kujiunga na chama hicho. Anayeshuhudia katikati ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Sumaye akisisitiza jambo
10 years ago
Vijimambo31 Jul
CHAMA CHA MAPINDUZI CCM ZANZIBAR CHATOA TAMKO JUU YA KUJITOA KWENYE CHAMA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA.
Katibu wa CCM Mkoa Mjini Mohammed Omar Nyawenga akitoa taarifa ya Chama hicho kwa Waandishi wa Habari kuhusu kujitoa ndani ya Chama Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa katika mkutano uliofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mjini Borafia Silima akitoa ufafanuzi katika mkutano uliohudhuriwa na wajumbe wa ngazi mbali mbali za Chama na waandishi wa Habari Afisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia mkutano huo...
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia mkutano huo...
9 years ago
Vijimambo30 Aug
HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU
Wagombea wa UKAWA na Mwenyekiti wa UKAWA wakionyesha kitabu chao cha Ilani ya Uchaguzi wa 2015.
Hotuba ya Lowassa
Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015
Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu
Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD umeungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi kupigania uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa na mgombea mmoja katika ngazi zote.
Miaka zaidi ya hamsini ya...
Hotuba ya Lowassa
Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015
Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu
Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD umeungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi kupigania uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa na mgombea mmoja katika ngazi zote.
Miaka zaidi ya hamsini ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10