Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRECK SUMAYE AONDOKA CCM NA KUJIUNGA NA UKAWA

 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo mchana. Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Dar es Salaam leo mchana, baada ya kujiunga na chama hicho. Anayeshuhudia katikati ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Sumaye akisisitiza jambo

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

PICHA WAZIRI MKUU MSTAAFU ALIPOTANGAZA KUHAMA KUJIUNGA UKAWA MAPEMA LEO

 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo mchana. Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Dar es Salaam leo mchana, baada ya kujiunga na chama hicho. Anayeshuhudia katikati ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Sumaye akisisitiza jambo

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Breaking News: Sumaye Ajivua CCM rasmi na kujiunga n UKAWA

Habari tulizozipata live kutoka kituo cha ITV ni kwamba Waziri wa zamani wa serikali ya Mkapa, ameamua rasmi kujitoa CCM baada ya kutotendewa haki na chama hicho. ” Sijiungi na upinzani kwa maslahi binafsi,sitaki cheo,sijachukua pesa, […]

The post Breaking News: Sumaye Ajivua CCM rasmi na kujiunga n UKAWA appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Fredrick Sumaye Waziri Mkuu mstaafu

Fredrick Tluway Sumaye alizaliwa Mei 29, 1950 wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara. Sumaye alianza darasa la kwanza mwaka 1958 katika shule ya Msingi Gidas iliyoko Hanang; alifika darasa la nne mwaka 1961 kisha akajiunga na Shule ya Kati “Single Middle School” mwaka 1962 hadi alipohitimu darasa la nane mwaka 1965.

 

10 years ago

Michuzi

waziri mkuu mstaafu,mh sumaye mgeni rasmi mahafali ya 13 ya RCT.

Waziri mkuu mstaafu Frederic Sumaye akihutubia katika mahafali ya kumi na tatu ya chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Royal yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Mawela Sinza. Wadau wa sekta ya habari wakiwa wamepozi baada ya kuhitimu katika chuo cha RCT,pichani ni baadhi ya wahitimu kutoka  Guardian wakiwa na mpigapicha mkongwe Juma Dihule.  pichani ni baadhi ya wahitimu. 

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

 Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye, akiingia ukumbini katika Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro Dar es Salaam leo asubuhi akiwa ameongozana na mke wake Ester Frederick Sumaye kwa ajili ya kutangaza nia ya kuwania nafasi ya urais wakati ukifika iwapo jina lake litapitishwa na chama chake cha CCM.  Waziri Mkuu mstaafu  Sumaye akiwa na mke wake Ester Sumaye wakati wa mkutano huo wa kutangaza nia. Waziri Mkuu mstaafu Sumaye (kulia), akizungumza na wanahabari na wadau wengine wakati...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE ATEMBELEA CLOUDS MEDIA GROUP LEO


Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group,Ruge Mutahaba akimkaribisha Waziri Mkuu Mstaafu,Mh.Frederick Sumaye alipowasili mapema leo kwenye makao makuu ya ofisi hizo zilizopo Mikocheni jijini Dar,pichani kati anaeshuhudia ni Ofisa Mahusiano wa Clouds Media Group,Simon Simalenga.
 Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media… ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye azindua Albam ya “Shikilia Pindo la Yesu” ya Rose

13

Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akikata utepe wakati akizindua rasmi albam ya Rose Muhando mwimbaji wa muziki wa injili inayoitwa Shikilia Pindo la Yesu katika onesho kubwa la uzinduzi lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo likihudhuriwa na maelefu ya washabiki wa muziki wa injili, ambapo waimbaji mbalimbali wameshiriki katika uzindzi huo wakiwemo Ephraim Sekereti Kutoka Zambia, Sara K. kutoka Kenya , Upendo Kilahiro, Upendo Nkone John Lisu na...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATEMBELEA UWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA NEW YORK

Mhe. Waziri Mkuu Mstaafu , Frederick Sumaye, akiangalia picha za baadhi ya Wawakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa ambao picha zao zinapamba ukumbi wa Mkutano wa Ofisi ya Mwakilishi wa KudumuMhe. Sumaye na Mama Esther wakipozi katika baadhi ya vivutio vilivyomo katika Ofisi Mpya za Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Jengo la Uwakilishi wa Kudumu lilifunguliwa rasmi mwishoni mwa mwezi March na Mhe. Rais Jakaya Mrisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani