Fredrick Sumaye Waziri Mkuu mstaafu
Fredrick Tluway Sumaye alizaliwa Mei 29, 1950 wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara. Sumaye alianza darasa la kwanza mwaka 1958 katika shule ya Msingi Gidas iliyoko Hanang; alifika darasa la nne mwaka 1961 kisha akajiunga na Shule ya Kati “Single Middle School†mwaka 1962 hadi alipohitimu darasa la nane mwaka 1965.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog04 Aug
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye azindua Albam ya “Shikilia Pindo la Yesu” ya Rose
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akikata utepe wakati akizindua rasmi albam ya Rose Muhando mwimbaji wa muziki wa injili inayoitwa Shikilia Pindo la Yesu katika onesho kubwa la uzinduzi lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo likihudhuriwa na maelefu ya washabiki wa muziki wa injili, ambapo waimbaji mbalimbali wameshiriki katika uzindzi huo wakiwemo Ephraim Sekereti Kutoka Zambia, Sara K. kutoka Kenya , Upendo Kilahiro, Upendo Nkone John Lisu na...
10 years ago
Michuzi25 Dec
MGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI KWA KUONGOZA TAMASHA LA KRISMAS
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/122.jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/212.jpg)
MGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI KWA KUONGOZA TAMASHA LA KRISMAS
10 years ago
Michuziwaziri mkuu mstaafu,mh sumaye mgeni rasmi mahafali ya 13 ya RCT.
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-Sl91s7l1XHg/UuDgKHipXtI/AAAAAAACZGM/g-Doig9RQl4/s1600/1.jpg)
WAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE ATEMBELEA CLOUDS MEDIA GROUP LEO
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRECK SUMAYE AONDOKA CCM NA KUJIUNGA NA UKAWA
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
9 years ago
Vijimambo22 Aug
Dakika 15 za Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye alivyotangaza kujiunga UKAWA.. (+Audio)
![UKAWA II](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/08/UKAWA-II.jpg?resize=509%2C286)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-laxXJRJSMIk/VS4frc57gjI/AAAAAAADiaE/IaJWdN39da4/s72-c/FullSizeRender%2B(9).jpg)
WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATEMBELEA UWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA NEW YORK
![](http://3.bp.blogspot.com/-laxXJRJSMIk/VS4frc57gjI/AAAAAAADiaE/IaJWdN39da4/s1600/FullSizeRender%2B(9).jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10