Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maswali saba kwa Waziri Muhongo kuhusu ufisadi IPTL

IFAHAMIKE kwamba ufisadi katika Akaunti ya Baraza la Usuluhishi la Migogoro ya Kibiashara (Escrow) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), msingi wake ni mkataba wa kifisadi wa IPTL uliosainiwa mwaka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Waziri Muhongo atoa siku saba kwa TANESCO

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter  Muhongo  ametoa siku saba kwa  shirika la ugavi wa Umeme nchini TANESCO kuunganisha umeme katika kituo cha ushuru wa forodha kilichopo kwenye mpaka wa Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania ambacho kimekuwa kikitegemea umeme kutoka nchini jirani ya Rwanda.

Waziri Muhongo ametoa maagizo hayo baada ya kupata taarifa kutoka kwa Maafisa wa forodha wa kituo hicho ambao wamemuelezea changamoto ya mara kwa mara ya  ukosefu wa umeme...

 

11 years ago

GPL

KAULI KUHUSU UONGO WA WAZIRI PROFESA MUHONGO

Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika (Mb). Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ametoa kauli za uongo kwa nyakati mbalimbali mwaka 2012 na 2013 ndani na nje ya Bunge kuhusu utafiti na uendelezaji wa gesi asilia. Waziri Muhongo alijibu uongo kwamba hafanyi kazi kwa vyombo vya habari nilipohoji kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge ya kuanzia Novemba 2011 ya kushughulikia ufisadi uliothibitika katika...

 

9 years ago

Habarileo

Wapambanaji wa ufisadi wazua maswali

UKIMYA wa wanasiasa walioongoza harakati za kupambana na ufisadi katika majukwaa ya kisiasa, wakati huu Serikali ikichukua hatua za wazi na haraka kukabiliana na ubadhirifu wa mali za umma, umeibua maswali kuhusu uzalendo kwa nchi yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Maswali saba ya Jaji Warioba

 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ameuliza maswali saba ya msingi kwa wajumbe wa Bunge la Katiba wanaopinga Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume yake akitaka wawajibu wananchi ili kutuliza kiu yao.

 

11 years ago

GPL

TAARIFA RASMI YA DKT. REGINALD A. MENGI MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LIMITED YENYE KUJIBU MAELEZO YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA MUHONGO KUHUSU HODHI YA VITALU

Reginal Mengi. Baada ya Mkutano wa Baraza la Taifa la Biashara ((TNBC) uliofanyika tarehe 16 Desemba 2013, chini ya uenyekiti wa Mhe. Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, sikutegemea kwamba Mhe. Profesa Muhongo angeendeleza mashambulizi dhidi yangu kwa sababu katika mkutano huo ambao ulikuwa na mafanikio makubwa tulifikia maamuzi ya kudumisha ushirikiano kati ya Serikali na Sekta Binafsi, kitu ambacho nimekuwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Aliyekuwa waziri mahakamani kwa ufisadi Kenya

Amos Kimunya ameshitakiwa kwa kosa la kutumia vibaya mamlaka pamoja na kujipatia ardhi ya umma kinyume na sheria.

 

11 years ago

Mwananchi

Muhongo aongeza utata mabilioni ya IPTL

Wakati utata wa kuchotwa kwa fedha katika Akaunti ya Escrow iliyofunguliwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutokana na mgogoro baina ya IPTL na Tanesco ukiendelea kuzua maswali, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema fedha hizo hazikuwa za Serikali.

 

10 years ago

GPL

KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO: MASWALI KWA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. KIKAO cha Bunge leo kimeanza kwa maswali kwa Waziri Mkuu ambapo aliyekuwa wa kwanza kuuliza alikuwa ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe. Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe. Alianza Mbowe:  “…Chini ya uongozi wako kama Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ukiwa kiongozi wa… ...

 

10 years ago

Vijimambo

KANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb)--JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA NISHATI NA MADINIKatika gazeti la NIPASHE la Jumatatu tarehe 08 Desemba, 2014 ziliandikwa habari kuhusu Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb) chini ya kichwa cha habari “Wanaomtetea Muhongo Wajibu haya”. Hoja zilizotolewa katika gazeti hilo zililenga kupotosha ukweli. Wizara inapenda kutoa maelezo kuhusu hoja zilizotolewa kama ifuatavyo:

Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani