Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhongo aongeza utata mabilioni ya IPTL

Wakati utata wa kuchotwa kwa fedha katika Akaunti ya Escrow iliyofunguliwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutokana na mgogoro baina ya IPTL na Tanesco ukiendelea kuzua maswali, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema fedha hizo hazikuwa za Serikali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Giza nene mabilioni ya IPTL, Tanesco

Wakati haijafahamika nani aliyelipwa mabilioni ya shilingi yaliyokuwa kwenye akaunti ya Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutokana na mvutano baina ya Tanesco na Kampuni ya IPTL, imebainika kuwa Bunge liliwahi kuagiza fedha hizo zisichukuliwe mpaka mitambo ya IPTL itakapokuwa chini ya Tanesco mwakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Chenge, Tibaijuka, Kilaini walipuliwa mabilioni ya IPTL

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imewataja vigogo wa serikali, wanasiasa na viongozi wa dini watatu walionufaika na uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow na jinsi baadhi walivyotumia mifuko ya plastiki kuzibeba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa IPTL utata mtupu

WAKATI Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), akitamba kuendelea kupiga kelele hadi fedha zilizochotwa kwenye Akaunti ya Escrow zirudishwe, suala hilo linazidi kugubikwa na utata, Tanzania Daima Jumatano limebaini....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utata wa Serikali kwa IPTL

WAKATI Harbinder Sing Sethi, anadai alinunua asilimia 70 ya hisa za Mechmar kwa kiasi cha sh. milioni 500 ($300,000) ndani ya wiki tatu tu tangu hisa hizo kuuzwa kwa kampuni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maswali saba kwa Waziri Muhongo kuhusu ufisadi IPTL

IFAHAMIKE kwamba ufisadi katika Akaunti ya Baraza la Usuluhishi la Migogoro ya Kibiashara (Escrow) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), msingi wake ni mkataba wa kifisadi wa IPTL uliosainiwa mwaka...

 

10 years ago

GPL

SOMA TAARIFA YA PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo. TAARIFA YA WAZIRI WA NISHANI NA MADINI PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO BONYEZA HAPA…

 

10 years ago

Michuzi

Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi

Nuru Mwasampeta na Veronica Simba, Dar es Salaam Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Wizara yake imejipanga kuhakikisha inajengwa mitambo ya uchakataji madini (Mineral Processing Plants) hapa nchini ili kuondokana na utaratibu wa kusafirisha madini ghafi nje ya nchi na badala yake zisafirishwe bidhaa zitokanazo na madini husika ili kuongeza thamani na hivyo kukuza pato la nchi.  Aliyasema hayo  alipokutana na kuzungumza na Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini...

 

11 years ago

GPL

Pluijm aongeza nane...

  Na Hans Mloli
MAPAMBANO ya usajili ghali na wa nguvu kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara yanaendelea na tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, ameuagiza uongozi wa klabu hiyo kumletea majembe mapya nane. Mtu wa ndani wa Yanga, ambaye hakutaka kutajwa jina gazetini, amelijuza gazeti hili kuwa, Pluijm ametoa maagizo hayo kupitia kwenye ripoti yake ya msimu uliopita huku kati ya hao wachezaji nane...

 

10 years ago

Habarileo

Wawa aongeza mkataba Azam

BEKI wa kati wa Azam FC kutoka Ivory Coast, Serge Wawa ameingia mkataba mpya na klabu yake ambao utadumu 2016/17.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani