Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi

Nuru Mwasampeta na Veronica Simba, Dar es Salaam Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Wizara yake imejipanga kuhakikisha inajengwa mitambo ya uchakataji madini (Mineral Processing Plants) hapa nchini ili kuondokana na utaratibu wa kusafirisha madini ghafi nje ya nchi na badala yake zisafirishwe bidhaa zitokanazo na madini husika ili kuongeza thamani na hivyo kukuza pato la nchi.  Aliyasema hayo  alipokutana na kuzungumza na Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WACHINA WAONESHA NIA KUWEKEZA SEKTA YA MADINI

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiongea na Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini China waliokuja nchini kwa lengo la kujadiliana na Viongozi Waandamizi wa Wizara kuhusu fursa za uwekezaji hususan katika sekta ya madini.
Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini China wakiongea na Waziri Muhongo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Wizara yake imejipanga kuhakikisha...

 

10 years ago

Vijimambo

KANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb)--JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA NISHATI NA MADINIKatika gazeti la NIPASHE la Jumatatu tarehe 08 Desemba, 2014 ziliandikwa habari kuhusu Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb) chini ya kichwa cha habari “Wanaomtetea Muhongo Wajibu haya”. Hoja zilizotolewa katika gazeti hilo zililenga kupotosha ukweli. Wizara inapenda kutoa maelezo kuhusu hoja zilizotolewa kama ifuatavyo:

Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Muhongo: Hatudanganyiki tena na wawekezaji madini

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospiter Muhongo, amejigamba kuwa Tanzania haitadanganyika tena kwa wawekezaji wa sekta ya madini kutolipa kodi na kuifanya nchi kutofaidika na rasilimali zake.

 

10 years ago

GPL

HATIMAYE WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROFESA SOSPITER MUHONGO AJIUZULU

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiongea na wanahabari ofisini kwake leo. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu nafasi hiyo leo ofisini kwake Dar kutokana na sakata la Escrow. Hatimaye Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospiter Muhongo amejiuzulu leo jijini Dar es Salaam. Waziri Muhongo amechukua uamuzi huo leo ofisini kwake mbele ya waandishi wa habari. Kujiuzulu kwa Muhongo...

 

10 years ago

Vijimambo

Ufafanuzi Wa Serikali Uliyotolewa Leo Bungeni na Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo

Ameweka wazi kwamba fedha za Escrow si mali ya umma,bado Serikali inadaiwaWaziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo
Sakata la uchotwaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow linaendelea kuchukua sura mpya baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Prof Sospeter Muhongo kutoa ufafanuzi wa Serikali bungeni mjini Dodoma kuwa fedha hizo si za umma na kwamba bado Serikali ina mzigo wa madeni katika sakata hilo.

Kauli ya Prof Muhongo inakuja siku moja baada ya Kamati ya PAC kuwasilisha ripoti...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APOKEA NISHANI YA HESHIMA NCHINI NIGERIA

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiwa ofisini kwake huku akiwa amevaa nishani hiyo. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo mapema Machi mwaka huu alikabidhiwa nishani ya kumbukumbu ya Profesa M.O. Oyawoye aliyewahi kuwa Profesa wa kwanza duniani kutoka Bara la Afrika katika masuala ya jiolojia huko nchini Nigeria. Profesa Muhongo alikabidhiwa nishani hiyo na timu ya wanajiolojia kwa kutambua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani