Muhongo: Hatudanganyiki tena na wawekezaji madini
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospiter Muhongo, amejigamba kuwa Tanzania haitadanganyika tena kwa wawekezaji wa sekta ya madini kutolipa kodi na kuifanya nchi kutofaidika na rasilimali zake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HSuUDFknyEQ/U-2bMXdFksI/AAAAAAAF_uc/6rgPuiaI4MM/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi
Nuru Mwasampeta na Veronica Simba, Dar es Salaam Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Wizara yake imejipanga kuhakikisha inajengwa mitambo ya uchakataji madini (Mineral Processing Plants) hapa nchini ili kuondokana na utaratibu wa kusafirisha madini ghafi nje ya nchi na badala yake zisafirishwe bidhaa zitokanazo na madini husika ili kuongeza thamani na hivyo kukuza pato la nchi. Aliyasema hayo alipokutana na kuzungumza na Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini...
10 years ago
Michuzi15 Sep
BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine,Michael Van Anen Mwakilishi Mwandamizi kutoka Benki ya Dunia ambaye pia ni mtaalamu wa madini kutoka idara ya nishati endelevu nchini Marekani,Bwa.Mamadou Barry akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha...
10 years ago
VijimamboKANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-2TdsXVCxyBM/VKLEoGpQUWI/AAAAAAADK_Q/fLIBFnrqdds/s1600/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png)
Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Muhongo ataka wawekezaji kuepuka mikataba ya rushwa
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ameyataka mashirika yanayotaka kuwekezaji kwenye Sekta ya Gesi na Mafuta nchini, yajiepushe kusaini mikataba ya rushwa ili kuepuka migogoro ya kimaslahi. Muhongo...
10 years ago
Vijimambo26 Jan
Siri ya Muhongo yafichuka, Wafanyabiashara, wawekezaji wakubwa wahusishwa
*Yaelezwa wivu, majungu,fitina chanzo kingine*Wabaya wa Muhongo sasa wajipanga kufanya sherehe
Said Mwishehe
SIKU moja tu baada ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kuamua kuachia ngazi katika wizara hiyo siri kubwa imefichuka ya sababu hasa ambayo imemfanya aondoke ukiachilia mbali sakata la Escrow.
Imebainika kuwa wizara hiyo ni ngumu kwa waziri kukaa muda mrefu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa wafanyabiashara na wawawekezaji wakubwa na wadogo wamekuwa...
![](http://jamboleo.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/IMG_3556-640x427.jpg)
SIKU moja tu baada ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kuamua kuachia ngazi katika wizara hiyo siri kubwa imefichuka ya sababu hasa ambayo imemfanya aondoke ukiachilia mbali sakata la Escrow.
Imebainika kuwa wizara hiyo ni ngumu kwa waziri kukaa muda mrefu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa wafanyabiashara na wawawekezaji wakubwa na wadogo wamekuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
HATIMAYE WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROFESA SOSPITER MUHONGO AJIUZULU
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiongea na wanahabari ofisini kwake leo. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu nafasi hiyo leo ofisini kwake Dar kutokana na sakata la Escrow. Hatimaye Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospiter Muhongo amejiuzulu leo jijini Dar es Salaam. Waziri Muhongo amechukua uamuzi huo leo ofisini kwake mbele ya waandishi wa habari. Kujiuzulu kwa Muhongo...
10 years ago
Michuzi05 Dec
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-nDhHGj_0L0A/U24RdHK_K9I/AAAAAAAFgrE/5qkG6kyYLes/s72-c/unnamed+(2).jpg)
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APOKEA NISHANI YA HESHIMA NCHINI NIGERIA
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo mapema Machi mwaka huu alikabidhiwa nishani ya kumbukumbu ya Profesa M.O. Oyawoye aliyewahi kuwa Profesa wa kwanza duniani kutoka Bara la Afrika katika masuala ya jiolojia huko nchini Nigeria. Profesa Muhongo alikabidhiwa nishani hiyo na timu ya wanajiolojia kwa kutambua mchango wake mkubwa barani Afrika na duniani kwa ujumla. Nishani hiyo alikabidhiwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Daniel Ole Njoolay kwa niaba yake.
![](http://3.bp.blogspot.com/-nDhHGj_0L0A/U24RdHK_K9I/AAAAAAAFgrE/5qkG6kyYLes/s1600/unnamed+(2).jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10