Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhongo ataka wawekezaji kuepuka mikataba ya rushwa

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ameyataka mashirika yanayotaka kuwekezaji kwenye Sekta ya Gesi na Mafuta nchini, yajiepushe kusaini mikataba ya rushwa ili kuepuka migogoro ya kimaslahi. Muhongo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Taifa liwe macho na mikataba ya wawekezaji

Tanzania ni taifa lililobarikiwa rasilimali nyingi zikiwamo madini ya aina mbalimbali, ambayo kama kweli zitasimamiwa vizuri zitasaidia kwa haraka kukuza uchumi wetu.

 

5 years ago

CCM Blog

TBS WATAKIWA KUEPUKA VISHAWISHI NA URASIMU NCHI IWE SALAMA NA KUVUTIA WAWEKEZAJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara  Prof. Riziki Shemdoe ( wa pili kutoka kulia) akipatiwa maelezo na mtaalam wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS)  kuhusu upimaji wa bidhaa mbalimbali unavyofanyika katika maabara ya uhandisi mitambo, Wakati wa ziara aliyoifanya Katibu Mkuu huyo kwenye Ofisi za TBS jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa TBS Dk. Athuman Ngenya.



Na Roida Andusamile-TBS
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara  Prof. Riziki Shemdoe...

 

11 years ago

Mwananchi

Muhongo: Hatudanganyiki tena na wawekezaji madini

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospiter Muhongo, amejigamba kuwa Tanzania haitadanganyika tena kwa wawekezaji wa sekta ya madini kutolipa kodi na kuifanya nchi kutofaidika na rasilimali zake.

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru kutoa elimu kwa jamii kuepuka rushwa

Kurugenzi wa TAKUKURU Dr Edward HoseahTAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) imesema ina mpango mkakati unaowahusisha wadau mbalimbali wa namna ya kuielimisha jamii ielewe juu ya madhara ya rushwa ili kwa pamoja, iweze kusaidia katika mapambano ya kuitokomeza.

 

10 years ago

Vijimambo

Siri ya Muhongo yafichuka, Wafanyabiashara, wawekezaji wakubwa wahusishwa

*Yaelezwa wivu, majungu,fitina chanzo kingine*Wabaya wa Muhongo sasa wajipanga kufanya shereheSaid Mwishehe
SIKU moja tu baada ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kuamua kuachia ngazi katika wizara hiyo siri kubwa imefichuka ya sababu hasa ambayo imemfanya aondoke ukiachilia mbali sakata la Escrow.

Imebainika kuwa wizara hiyo ni ngumu kwa waziri kukaa muda mrefu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa wafanyabiashara na wawawekezaji wakubwa na wadogo wamekuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Askofu mstaafu Singida ataka jamii kuepuka vishawishi

2

Kanisa la Pentekoste (FPCT) la mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

ASKOFU mstaafu wa kanisa la Pentekoste (FPCT) Singida, mchungaji Paulo Samweli,amewasihi waumini na wananchi kwa ujumla wajenge utamaduni wa kukataa kushawishiwa kirahisi,kwa njia hiyo wanaweza   kujiepusha na mambo ambayo yanaweza kumsababishia washindwe  kuishi kwa amani na utulivu.

Askofu Samwel ametoa wito huo wakati akihubiri kwenye ibada ya kawaida ya waumini wa kanisa la FPCT la mjini...

 

10 years ago

Mwananchi

Muhongo akemea rushwa Tanesco

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewataka wananchi wa vijiji vya wilayani hapa kutoa taarifa za mianya ya rushwa wakati wanapoomba kuunganishiwa umeme majumbani.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA UPIMAJI MAENEO YA MIGODI KUEPUKA MIGOGORO


Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akioongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (Kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Geita Josephat Maganga kuelekea kuzungumza na watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa wa Geita wakati wa ziara ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi mwishoni mwa wiki.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa wa...

 

11 years ago

Mwananchi

JK ataka wawekezaji waaminifu katika gesi

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania inahitaji washirika wawekezaji waaminifu katika sekta ya gesi, ili kuwezesha Watanzania kunufaika kikamilifu na rasilimali hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani