Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu mstaafu Singida ataka jamii kuepuka vishawishi

2

Kanisa la Pentekoste (FPCT) la mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

ASKOFU mstaafu wa kanisa la Pentekoste (FPCT) Singida, mchungaji Paulo Samweli,amewasihi waumini na wananchi kwa ujumla wajenge utamaduni wa kukataa kushawishiwa kirahisi,kwa njia hiyo wanaweza   kujiepusha na mambo ambayo yanaweza kumsababishia washindwe  kuishi kwa amani na utulivu.

Askofu Samwel ametoa wito huo wakati akihubiri kwenye ibada ya kawaida ya waumini wa kanisa la FPCT la mjini...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Waaswa kuepuka vishawishi vya ngono

WANAFUNZI waliohitimu darasa la saba shule ya Msingi Tagamenda Kalenga Iringa Vijijini wameaswa kudumisha nidhamu, maadili na kuepuka vishawishi vya ngono za umri mdogo badala yake wazingatie masomo ya Sekondari...

 

5 years ago

Michuzi

Watumishi TBS Watakiwa Kuepuka Vishawishi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe amewataka watumishi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS),kuepuka vishawishi katika utendaji kazi ili nchi iwe salama na kuvutia wawekezaji zaidi.

Prof. Shemdoe aliyasema hayo hivi karibuni alipotembelea TBS kwa mara ya kwanza baada ya kuteuliwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.

Prof. Shemdoe alisema ili kuwezesha biasharaTBS inapaswa kufanya kazi kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

RC Singida ataka jamii ya Wahadzabe itambuliwe

DSC03400

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile (wa kwanza kushoto) akisoma taarifa yake mbele ya Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone juu ya ujenzi wa mabweni mawili na nyumba ya matroni ambayo iligharimu zaidi ya shilingi 59 milioni.

Na Nathaniel Limu, Mkalama

MKUU  wa Mkoa wa Singida Dr. Parseko Vicent Kone, ameiomba serikali kupitia Wizara ya elimu na Ufundi, kuitambua Shule ya msingi ya bweni ya kijiji cha  Munguli kuwa ni shule  maalum tu, kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

TBS WATAKIWA KUEPUKA VISHAWISHI NA URASIMU NCHI IWE SALAMA NA KUVUTIA WAWEKEZAJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara  Prof. Riziki Shemdoe ( wa pili kutoka kulia) akipatiwa maelezo na mtaalam wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS)  kuhusu upimaji wa bidhaa mbalimbali unavyofanyika katika maabara ya uhandisi mitambo, Wakati wa ziara aliyoifanya Katibu Mkuu huyo kwenye Ofisi za TBS jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa TBS Dk. Athuman Ngenya.



Na Roida Andusamile-TBS
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara  Prof. Riziki Shemdoe...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Muhongo ataka wawekezaji kuepuka mikataba ya rushwa

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ameyataka mashirika yanayotaka kuwekezaji kwenye Sekta ya Gesi na Mafuta nchini, yajiepushe kusaini mikataba ya rushwa ili kuepuka migogoro ya kimaslahi. Muhongo...

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru kutoa elimu kwa jamii kuepuka rushwa

Kurugenzi wa TAKUKURU Dr Edward HoseahTAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) imesema ina mpango mkakati unaowahusisha wadau mbalimbali wa namna ya kuielimisha jamii ielewe juu ya madhara ya rushwa ili kwa pamoja, iweze kusaidia katika mapambano ya kuitokomeza.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA UPIMAJI MAENEO YA MIGODI KUEPUKA MIGOGORO


Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akioongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel (Kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Geita Josephat Maganga kuelekea kuzungumza na watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa wa Geita wakati wa ziara ya kukagua utendaji kazi wa sekta ya ardhi mwishoni mwa wiki.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU MSTAAFU MWALUNYUNGU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika ibada ya mazishi ya Askofu Mstaafu wa Jimbo la Tunduru/ Masasi, Magnus Mwalunyungu yaliyofanyia kwenye kanisa la Tosamaganga mkoani Iringa Februari 20, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Ngalalekumtwa (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza baada ya mazishi ya Askofu Mstaafu wa Jimbo la Tunduru Masasi, Mhashamu Magnus Mwalunyungu...

 

5 years ago

Michuzi

MABULA ATAKA MALIPO YA KODI YA PANGO LA ARDHI KWA MITANDAO YA SIMU KUEPUKA CORONA

Na Munir  Shemweta, WANMM SIMIYU

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kilipia kodi ya pango la ardhi kufanya hivyo kupitia mitandao ya simu za viganjani ili kuepuka misongamano inayoweza kuchangia maambukizi ya virusi vya Corona.

Dkt Mabula alitoa tahadhari hiyo juzi wilayani Bariadi mkoani Simiyu alipozungumza na Wakurugenzi na Watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri za mkoa wa Simiyu akiwa katika ziara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani