RC Singida ataka jamii ya Wahadzabe itambuliwe
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile (wa kwanza kushoto) akisoma taarifa yake mbele ya Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone juu ya ujenzi wa mabweni mawili na nyumba ya matroni ambayo iligharimu zaidi ya shilingi 59 milioni.
Na Nathaniel Limu, Mkalama
MKUU wa Mkoa wa Singida Dr. Parseko Vicent Kone, ameiomba serikali kupitia Wizara ya elimu na Ufundi, kuitambua Shule ya msingi ya bweni ya kijiji cha Munguli kuwa ni shule maalum tu, kwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Makundi ya jamii Asilia ya Wahadzabe, Wabarabaig,Wamasai waiomba Serikali ya Tanzania kuwatambua kama jamii nyingine!
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Mh. Idd Ramadhan Mapuri (katikati) akizindua taarifa ya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kuhusu utafiti wa Hali ya Haki za watu wenye kuishi maisha asilia Tanzania. kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay na (kulia) ni mmoja wa wajumbe walioshiriki kuandaa ripoti hiyo, kutoka nchini Kenya katika taasisi ya ACHPR, Dk. Naomi Kipuri. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na...
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Makundi ya jamii asilia ya Wahadzabe, Wabarabaig, Wamasai waiomba Serikali ya Tanzania kuwatambua kama jamii nyingine!
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Mh. Idd Ramadhan Mapuri (katikati) akizindua taarifa ya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kuhusu utafiti wa Hali ya Haki za watu wenye kuishi maisha asilia Tanzania. kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay na (kulia) ni mmoja wa wajumbe walioshiriki kuandaa ripoti hiyo, kutoka nchini Kenya katika taasisi ya ACHPR, Dk. Naomi Kipuri.(Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na...
10 years ago
Dewji Blog07 Jan
Askofu mstaafu Singida ataka jamii kuepuka vishawishi
Kanisa la Pentekoste (FPCT) la mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
ASKOFU mstaafu wa kanisa la Pentekoste (FPCT) Singida, mchungaji Paulo Samweli,amewasihi waumini na wananchi kwa ujumla wajenge utamaduni wa kukataa kushawishiwa kirahisi,kwa njia hiyo wanaweza kujiepusha na mambo ambayo yanaweza kumsababishia washindwe kuishi kwa amani na utulivu.
Askofu Samwel ametoa wito huo wakati akihubiri kwenye ibada ya kawaida ya waumini wa kanisa la FPCT la mjini...
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
‘Haki ya ardhi itambuliwe kikatiba’
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Reuben Matango kutoka kundi la wafugaji, amesema ni vema haki ya ardhi na maji vikaingizwa katika katiba. Akizungumza na Tanzania Daima jana katika mahojiano...
11 years ago
Habarileo05 Jan
Dk Shein ataka matumizi ya huduma za jamii
WANANCHI wametakiwa kuzitumia vyema fursa za huduma za jamii zinazopatikana hivi sasa katika maeneo yao zikiwa ni matunda ya utekelezaji wa malengo ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Mtaka ataka jamii kusaidia wenye uhitaji
MKUU wa Wilaya (DC) ya Mvomero, Anthony Mtaka, ameitaka jamii kubadilika na kuwasaidia watu wenye kuhitaji misaada mbalimbali badala ya kujinufaisha wenyewe kwa mambo yasiyo na tija. Mtaka alitoa kauli...
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
RC Singida ataka mipango madhubuti kulinda raslimali maji
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza kwenye ufunguaji wa warsha ya wadau kujadili rasimu ya mwisho ya taarifa ya mpango wa usimamizi na uendelezaji wa pamoja wa rasilimali za maji wa bodi ya maji ya bonde la kati, liyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aquar Vitae hotel mjini Singida.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone ametoa wito kwa Wizara ya Maji na taasisi zake, kuhakikisha ngazi zote za jamii zinapata taarifa sahihi juu ya umuhimu wa...
11 years ago
Habarileo15 Dec
Mama Kikwete ataka jamii kuwa karibu na yatima
JAMII ina jukumu la kuwatetea, kuwalinda na kuwasemea watoto yatima ambao ni hazina ya Taifa.
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
Dk. Kone abariki mifuko ya afya ya Jamii ya CHF, TIKA mkoani Singida
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, amezitaka halmashauri za wilaya na manispaa, kuweka mipango endelevu ya kuongeza michango ya wananchama wa mifuko ya afya ya jamii (CHF) na TIKA, ili mkoa uweze kujijengea uwezo wa kutoa huduma bora kwa wanachama wa mifuko hiyo.
Dk. Kone ametoa wito huo wakati akifungua kikao cha kazi cha kuhamasisha CHF na TIKA kwa viongozi wa mkoa na halmashauri zote mkoani hapa.
Katika hotuba...