Dk. Kone abariki mifuko ya afya ya Jamii ya CHF, TIKA mkoani Singida
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, amezitaka halmashauri za wilaya na manispaa, kuweka mipango endelevu ya kuongeza michango ya wananchama wa mifuko ya afya ya jamii (CHF) na TIKA, ili mkoa uweze kujijengea uwezo wa kutoa huduma bora kwa wanachama wa mifuko hiyo.
Dk. Kone ametoa wito huo wakati akifungua kikao cha kazi cha kuhamasisha CHF na TIKA kwa viongozi wa mkoa na halmashauri zote mkoani hapa.
Katika hotuba...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Dk. Parseko Kone afunga mradi wa TMEP Singida na kuwaasa vijana kuzingatia elimu ya afya
Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la Health Actions Promotions Association (HAPA), David Mnkaje, akitoa taarifa yake juu ya kumalizika kwa mradi wa ushiriki sawa kwa wanaume katika masuala ya afya ya uzazi na ujinsia (TMEP) mbele ya wadau waliofanikisha mradi huo wa miaka mine uliomalizika mwaka jana.Wa pili kushoto ni kaimu katibu tawala sekretarieti mkoa wa Singida Tiluganilwa Mayunga na wa kwanza kushoto ni meneja wa mradi wa TMEP,Cuthbert Maendaenda.
Kaimu Katibu Tawala miundo...
11 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA GEITA AZINDUA MCHAKATO WA UANZISHWAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII WA TIBA KWA KADI (TIKA)
BOFYA...
10 years ago
Dewji Blog03 Dec
Dkt. Kone asema maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI mkoani Singida yazidi kuongezeka
Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida na mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI yaliyofanyika katika kijiji cha Sepuka wilaya ya Ikungi.Kaimu mkuu huyo wa mkoa, amesema kuwa jumla ya waathirika wa VVU 17,720 mkoani hapa, 12,286 wameandikishwa kwa ajili ya kupatiwa dawa za kufumbaza virusi vinavyosababisha ugonjwa hatari wa UKIMWI.
Na Nathaniel Limu.
Jumla ya watu 17,720 mkoani Singida wanaoishi na Virusi vya Ukimwi walioandikishwa hadi...
11 years ago
MichuziMKUU wa Mkoa wa Geita azindua mchakato wa uanzishwaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii ujulikanao kama Tiba kwa Kadi (TIKA)