Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makundi ya jamii Asilia ya Wahadzabe, Wabarabaig,Wamasai waiomba Serikali ya Tanzania kuwatambua kama jamii nyingine!

DSC_0928

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Mh. Idd Ramadhan Mapuri (katikati) akizindua taarifa ya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kuhusu utafiti wa Hali ya Haki za watu wenye  kuishi maisha asilia Tanzania.  kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay  na (kulia) ni  mmoja wa wajumbe walioshiriki kuandaa ripoti hiyo, kutoka nchini Kenya katika taasisi ya ACHPR, Dk. Naomi Kipuri. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

 

Na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Makundi ya jamii asilia ya Wahadzabe, Wabarabaig, Wamasai waiomba Serikali ya Tanzania kuwatambua kama jamii nyingine!

DSC_0928

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Mh. Idd Ramadhan Mapuri (katikati) akizindua taarifa ya Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kuhusu utafiti wa Hali ya Haki za watu wenye  kuishi maisha asilia Tanzania.  kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Mary Massay  na (kulia) ni  mmoja wa wajumbe walioshiriki kuandaa ripoti hiyo, kutoka nchini Kenya katika taasisi ya ACHPR, Dk. Naomi Kipuri.(Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na...

 

10 years ago

Dewji Blog

RC Singida ataka jamii ya Wahadzabe itambuliwe

DSC03400

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile (wa kwanza kushoto) akisoma taarifa yake mbele ya Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone juu ya ujenzi wa mabweni mawili na nyumba ya matroni ambayo iligharimu zaidi ya shilingi 59 milioni.

Na Nathaniel Limu, Mkalama

MKUU  wa Mkoa wa Singida Dr. Parseko Vicent Kone, ameiomba serikali kupitia Wizara ya elimu na Ufundi, kuitambua Shule ya msingi ya bweni ya kijiji cha  Munguli kuwa ni shule  maalum tu, kwa...

 

11 years ago

Michuzi

CHADEMA WAENDELEA NA KAMPENI KALENGA,WATEMBELEA JAMII YA WAMASAI.

 Meneja Kampeni wa Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Alphonse Mawazo, akicheza ngoma ya jamii ya kimasai baada ya kufanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kumnadi mgombea ubunge wa chama hicho, Grace Tendega Mvanda.  Mgombea Ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Grace Tendega Mvanda, akizungumza kuomba kura wakati chama hicho kilipofanya kampeni ya nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu...

 

5 years ago

Michuzi

KUNDI LA SIMBA JAMII TANZANIA LAZIDI KUTOA MISAADA KWA JAMII

Leo tarehe 05 April,2020 kundi maarufu la Simba Jamii Tanzania limekabidhi sehemu ya misaada ya viti vya walemavu (wheelchairs) kwa mwanafunzi mlemavu Lucy Furaha Kajuni wa shule ya Msingi Nzovwe iliyopo mkoani Mbeya.

Msaada huo ulitolewa mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Shule hiyo Ndg Happy Bakamba pamoja na maafisa kadhaa wa Kata.

Simba Jamii iliwakilishwa na wanachama wake Ndg Jacob Madege,Ndg Mwakalilila,Ndg Anangisye na Ndg Maureen.

Mkuu wa msafara wa Simba Jamii Ndg Maureen amedai kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAITAKA SERIKALI KUONGEZA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO YA JAMII

Na Mwandishi Wetu Arusha

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuongeza na kutoa fedha za miradi ya maendeleo ya jamii katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini.

Akitoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayosimamia Taasisi ya Maendeleo ya Jamii leo tarehe 16/03/2020 mkoani Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ametaka ...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAHAIDI KUZIDI KUPIGA JEKI WAFANYAKAZI WA AFYA YA JAMII KUBORESHA AFYA YA JAMII VIJIJINI

 Na Mwandishi Wetu,SERIKALI ya Tanzania imeelezea utayari wake wa kupiga jeki na kuwajumuisha wafanyakazi wa afya ya jamii katika nguvukazi ya sekta ya afya (national health workforce) ya taifa ili kuboresha afya ya jamii hususani katika maeneo ya vijijini.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau wa mradi wa mafunzo ya wafanyakazi wa afya ya jamii (Community Health Worker Learning Agenda Project - CHW-LAW) jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji (idara ya uzazi na afya ya mtoto)...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Nyarandu azungumza na wanahabari kuhusu uvumi wa kuhamishwa kwa jamii ya wamasai katika hifadhi ya ngorongoro

Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu akizungumza na Waandishi wa Habari (hawako pichani) katika Ukumbi wa Habari wa Bunge Mjini Dodoma leo Novemba 21,2014, kuhusu Uvumi ulioanza kuenea kuwa jamii ya wamasai wanaoishi katika hifadhi ya Hifadhi ya Ngorongoro kuwa watahamishwa.

 

10 years ago

Michuzi

Saudia yaipatia Serikali ya Tanzania zaidi ya Sh. bilioni 45 kuboresha huduma za jamii nchini.

 Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisaini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kwa serikali ya Tanzania kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Saudia Mhandisi Hassan Al-Attas. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akibadilishana hati ya  mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kwa serikali ya Tanzania waliosaini kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla-Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Dk Hamis Andrea Kigwangalla ndiye Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Pombe Magufuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani