Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Nyarandu azungumza na wanahabari kuhusu uvumi wa kuhamishwa kwa jamii ya wamasai katika hifadhi ya ngorongoro

Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu akizungumza na Waandishi wa Habari (hawako pichani) katika Ukumbi wa Habari wa Bunge Mjini Dodoma leo Novemba 21,2014, kuhusu Uvumi ulioanza kuenea kuwa jamii ya wamasai wanaoishi katika hifadhi ya Hifadhi ya Ngorongoro kuwa watahamishwa.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYARANDU AAGIZA ASKARI WA MAREKANI KUONDOKA KATIKA HIFADHI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na waandishi wa habari mjini Mwanza jana juu ya askari wastaafu wa Marekani wanaodai kuwa nchini kupambana na ujangili. (Picha na Loveness Bernard)

NA LOVENESS BERNARD, Mwanza
Waziri wa Maliasili na Utali, Lazaro Nyalandu amekipiga marufuku kikundi cha wanajeshi wastaafu wa Marekani (Vetpaw) ambacho kinadai kupambana na majangili nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari Waziri Nyalandu alisema kuwa kikundi hicho kimekuwa kikitumia...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA BIASHARA VIWANDA, NA MASOKO ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUHUSU UZINDUZI WA MPANGO WA ELIMU KWA WANANCHI

Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akijibu maswali ya wandishi wa Habari (hawapo pichani), kulia Naibu Waziri wake Thuwaiba Edington Kisasi na (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Julian Raphael. Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Julian Raphael akimkaribisha Waziri Mazrui (hayupo pichani) azungumze na wandishi wa Habari katika sherehe ya uzinduzi wa mpango wa elimu kwa wananchi kuhusu kuanzishwa kwa Sheria ya Biashara Zanzibar No. 14 ya...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YATOA ELIMU KUHUSU HIFADHI YA JAMII KWA WANACHUO WA CBE

 Mkurugenzi wa Wanafunzi wanaochukua Mafunzo ya Shahada ya kwanza katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Dk. Esther Mbise akimkaribisha mgeni rasmi, Meneja Kiongozi Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii ( NSSF), Eunice Chiume (katikati),wakati wa Semina kwa wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), iliyofanyika katika chuoni hapo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Masoko chuoni hapo, Felix Chale. Jumla ya wanachuo 180 walihudhuria semina hiyo. Meneja...

 

9 years ago

Michuzi

SSRA YASHIRIKI MAONESHO YA SIKU YA BAHARI MKOANI MTWARA NA KUTOA ELIMU KWA MABAHARIA NA WAVUVI KUHUSU UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

Ofisa Mwandamizi Matekelezo wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bw. Frank Kilimba akifanunua jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bi. Halima Dendegu, wakati wa maonesho ya Siku ya Bahari yaliyofanyika mkoani Mtwara hivi karibuni.Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la SSRA wakichukua vipeperushi mbalimbali vya SSRA katika monyesho hayo.Maofisa wa SSRA wakitoa maelezo kuhusu shughuli mbalimbali za mamlaka hiyo, kwa wanachi waliohudhuria maonesho ya Siku ya...

 

11 years ago

Michuzi

UHURU KWA VYOMBO VYA HABARI UNA I "SHAPE" JAMII ASEMA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII-NYARANDU

Video imepigwa na Dixon Busagaga wa 
Globu ya Jamii aliyekuwa jijini Mwanza.

 

5 years ago

Michuzi

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO SASA WAHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO

MKUTANO wa siku tatu uliokuwa unafanyika kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro umemalizika leo Machi 26 mwaka huu wa 2020 kwa mafanikio makubwa.

Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imeeleza mkutano huo wa siku tatu ulikuwa ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala na moja ya majadiliano yalikuwa ni kuangalia utaratibu wa Usimamizi wa fedha zinazotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa ajili ya Baraza la...

 

9 years ago

Michuzi

MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro yaipiga jeki taswa katika tuzo za Wanamichezo Bora

MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro ( NCAA),  imetoa Sh. 10, 486,000 kwa ajili ya kudhamini tuzo za Wanamichezo Bora waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete. 
Tuzo hizo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA zinatarajiwa kufanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo pia TASWA itatoa Tuzo ya Heshima kwa Rais Kikwete ikiwa ni kuthamini mchango wake kwa sekta ya michezo katika uongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani