UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO SASA WAHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO

MKUTANO wa siku tatu uliokuwa unafanyika kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro umemalizika leo Machi 26 mwaka huu wa 2020 kwa mafanikio makubwa.
Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imeeleza mkutano huo wa siku tatu ulikuwa ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala na moja ya majadiliano yalikuwa ni kuangalia utaratibu wa Usimamizi wa fedha zinazotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa ajili ya Baraza la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Dec
Hifadhi ya Ngorongoro sasa hatarini kutoweka
HIFADHI ya Taifa ya Ngorongoro imetajwa kuwa ipo hatarini kutoweka, kutokana na mwingiliano wa watu kuwa mkubwa huku idara nyingi zikiongozwa na watu wasiostahili kuongoza.
5 years ago
Michuzi
UONGOZI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WAKUTANA NA BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO KUJADILI FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO.
Fedha hizo sasa zitapelekwa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kutekeleza shughuli zilezile...
11 years ago
MichuziMIRADI YA MAENDELEO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE YAENDELEA KUKAGULIWA
Kwa Picha na habari zaidi bofya Basahama Blogspot
10 years ago
Michuzi
KINANA AWASILI WILAYA YA KYERWA, ATAKA MIRADI YA MAENDELEO ISIMAMIWE NA HALMASHAURI SIYO SERIKALI.


10 years ago
Vijimambo09 Apr
NYOTA WA BARCELONA WATEMBELEA HIFADHI YA NGORONGORO

Credit:ShaffihDaud.












11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Bodi Hifadhi ya Ngorongoro kutangazwa karibuni
BODI ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro inatarajiwa kutangazwa ndani ya wiki mbili kuanzia sasa. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki alipokuwa...
10 years ago
StarTV24 Dec
Waliokuwa watumshi hifadhi ya Ngorongoro kizimbani.
Theodora Mrema,
Karatu.
Waliokuwa watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwemo aliyekuwa Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka hiyo ambaye sasa ni Mbunge wa Bunge Afrika Mashariki Bernard Mrunya wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya Karatu kujibu tuhuma mbalimbali zinazowakabili.
Miongoni mwa tuhuma hizo ni matumizi mabaya ya madaraka wakati wakiwa watumishi katika mamlaka hiyo
Waliofikishwa mahakamani hapo ni washtakiwa watano ambao ni pamoja na Bernard Mrunya aliyekuwa...
11 years ago
MichuziBASI LA LINAPOPATA HITILAFU KATIKATI YA HIFADHI YA NGORONGORO
5 years ago
Michuzi
HALMASHAURI WILAYA YA MERU MKOANI ARUSHA YATUMIA MILIONI 308/_ KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO HADI KUFIKIA APRILI 15
HALMASHAURI ya Wilaya ya Meru mkoani Arusha imetumia zaidi ya shilingi milioni 308 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika kipindi Cha mwaka wa fedha 2019//2020 hadi kufikia Aprili 15 mwaka huu.
Akizungumza leo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Meru Emmanuel Mkongo amesema kuwa halmashauri hiyo katika kuunga mkono jitihada za wananchi kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020 ilitenga kutoka katika makusanyo ya mapato ya...