Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYOTA WA BARCELONA WATEMBELEA HIFADHI YA NGORONGORO

Patrick Kluivert akiwa juu ya gari la kitalii pamoja na mchezaji mwenzie wote walisha chezea timu ya Barcelona na wako nchini Tanzania kupepetana na timu ya wakongwe wa liowahi kuchezea timu za Yanga, Simba na Taifa Stars hapo jumamosi.
Credit:ShaffihDaud.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO SASA WAHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO

MKUTANO wa siku tatu uliokuwa unafanyika kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro umemalizika leo Machi 26 mwaka huu wa 2020 kwa mafanikio makubwa.

Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imeeleza mkutano huo wa siku tatu ulikuwa ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala na moja ya majadiliano yalikuwa ni kuangalia utaratibu wa Usimamizi wa fedha zinazotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa ajili ya Baraza la...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

StarTV

Waliokuwa watumshi hifadhi ya Ngorongoro kizimbani.

Theodora Mrema,

Karatu.

 

Waliokuwa watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwemo aliyekuwa Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka hiyo ambaye sasa ni Mbunge wa Bunge Afrika Mashariki Bernard Mrunya wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya Karatu kujibu tuhuma mbalimbali zinazowakabili.

Miongoni mwa tuhuma hizo ni matumizi mabaya ya madaraka wakati wakiwa watumishi katika mamlaka hiyo

Waliofikishwa mahakamani hapo ni washtakiwa watano ambao ni pamoja na Bernard Mrunya aliyekuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Hifadhi ya Ngorongoro sasa hatarini kutoweka

Naibu Waziri Maliasili na Utalii, Mahmoud MgimwaHIFADHI ya Taifa ya Ngorongoro imetajwa kuwa ipo hatarini kutoweka, kutokana na mwingiliano wa watu kuwa mkubwa huku idara nyingi zikiongozwa na watu wasiostahili kuongoza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bodi Hifadhi ya Ngorongoro kutangazwa karibuni

BODI ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro inatarajiwa kutangazwa ndani ya wiki mbili kuanzia sasa. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki alipokuwa...

 

11 years ago

Michuzi

BASI LA LINAPOPATA HITILAFU KATIKATI YA HIFADHI YA NGORONGORO

Basi la kampuni ya AM likiwa limepata hitilafu katikati ya hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. Gari la mafuta likivuka moja ya daraja ndani ya hifadhi hiyo. Eneo la mto ambalo linatajwa kuwa ni manywesheo ya wanyama katika hifadhi ya taifa ya Ngorongoro ambapo basi la kampuni ya AM lilipata hitilafu. Kondakta wa basi la AM aliyefahamika kwa jina la Majogoro akichota maji kwenye mto kwa ajili ya kuweka kwenye rejeta baada ya injini kuchemsha. Basi lilikunywa maji ,madumu ya...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA MFALME WA JAPANI PRINCE FUMIHITO NA MKEWE WAZURU HIFADHI YA NGORONGORO

 Mwana wa mfalme wa Japan Prince Fumihito Akishino na mkewe Kiko, wakifurahia ngoma za makabila la Wadatoga (Barbaig) na ile ya Wamasai, katika eneo la mlango wa Loduare kwenye hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro, pamoja nao wapo pia maafisa wa mamlaka hiyo, Bruno Kawasange na Adam Akyoo pamoja na Mkuu wa wilaya ya Karatu, Felix Daudi Ntibenda.  wakiwa wanafurahia ngoma za wamasai pamoja na wabarabaigi  Katika picha nyingine Mwana huyo wa mfalme wa Japan akipewa maelezo kuhusu shughuli za...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA MFALME WA JAPANI PRINCE AKISHINO NA MKEWE WAZURU HIFADHI YA NGORONGORO

 Mwana wa mfalme wa Japan Prince Fumihito Akishino na mkewe Kiko, wakifurahia ngoma za makabila la Wadatoga (Barbaig) na ile ya Wamasai, katika eneo la mlango wa Loduare kwenye hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro, pamoja nao wapo pia maafisa wa mamlaka hiyo, Bruno Kawasange na Adam Akyoo pamoja na Mkuu wa wilaya ya Karatu, Felix Daudi Ntibenda.  wakiwa wanafurahia ngoma za wamasai pamoja na wabarabaigi. Katika picha nyingine Mwana huyo wa mfalme wa Japan akipewa maelezo kuhusu shughuli za...

 

10 years ago

Michuzi

Mabalozi na Wafanyabiashara Kutoka Kuala Lumpur watembelea Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima aliwaalika Mabalozi wa nchi mbali mbali kuja kutembelea Tanzania hivi karibuni.
Mabalozi hao kutoka Kuala Lumpur Malaysia walitembelea mbuga za wanayama za Serengeti, Ngorongoro na walifanya ziara mjini Zanzibar.
Mabalozi hao ni Waheshimiwa Viorica na Constantin Nistor (Romania), Stephen Mubiru (Uganda), Dkt. Aziz Ponary Mlima(Tanzania), Isabela Mhlanga( Afrika Kusini), na Bwana Rogatius Shao (Naibu Balozi-Tanzania).Mabalozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani