Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGWIJI WA BARCELONA NGORONGORO TRIP

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TIMU YA MAGWIJI WA BARCELONA WALIVYOWASILI ZANZIBAR

Kikosi cha Wachezaji wa Zamani wa Timu ya Barcelona wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakitokea Arusha. Rais wa Heshima wa Timu ya Barcelona Kocha Johan Cruyff, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar alipofika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.… ...

 

10 years ago

GPL

MAGWIJI WA TANZANIA WALIVYOLALA 2-1 KWA BARCELONA

Patrick Kluivert akijaribu kuwatoka wachezaji wa Tanzania. Shadrack Nsajigwa akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji wa Barca. Kikosi cha magwiji wa Tanzania.…

 

10 years ago

Michuzi

MAGWIJI WA KLABU YA BARCELONA WAANZA KUWASILI NCHINI

Nguli wa soka wa timu ya taifa ,Uholanzi na vilabu vya Ajax na Barcelona,Johan Cruyff (Kulia) akiongozana na mwenyeji wake,Rayco Garcia mara baada ya kuwasili katika uwanja a ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)

Dixon Busagaga (Kushoto) wa Globu ya Jamii na Busagaga's Orijino Blog akiwa katika picha ya pamoja na waratibu wa ziara hiyo ya magwiji wa Barcelona.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI

 

10 years ago

Michuzi

MAGWIJI WA FC BARCELONA KUTUA NCHINI KUPAMBANA NA NYOTA WA TANZANIA

 Mshambuliaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya Taifa ya Uholanzi Patrick Kluivert alizungumzia ujio wa magwiji FC Barcelona nchini mwezi wa tatu mbele ya waandishi wa habari kwenye mgahawa wa Sports Lounge uliopo jijini Dar Es Salaam ,Pembeni ya Kluivert ni mwenyekiti wa DRFA Ndugu Almas Kasongo. Magwiji hao wa Barcelona wanataraji kucheza na wachezaji nyota wa Tanzania kwenye uwanja wa Taifa mnamo mwezi wa machi tarehe 28. Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Dar Es Salaam,Almasi...

 

10 years ago

GPL

MAGWIJI WA BARCELONA WAMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU JIJINI DAR

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona wakati walimpomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Mchezaji nyota wa zamani wa Uholanzi na kocha wa Timu ya maveterani ya Barcelona Johann Cruyft akimkabidhi jezi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAGWIJI WA FC BARCELONA KUTUA NCHINI KUPAMBAMBANA NA NYOTA WA TANZANIA MACHI 28

 Mshambuliaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya Taifa ya Uholanzi Patrick Kluivert alizungumzia ujio wa magwiji FC Barcelona nchini mwezi wa tatu mbele ya waandishi wa habari kwenye mgahawa wa Sports Lounge uliopo jijini Dar Es Salaam ,Pembeni ya Kluivert ni mwenyekiti wa DRFA Ndugu Almas Kasongo. Magwiji hao wa Barcelona wanataraji kucheza na wachezaji nyota wa Tanzania kwenye uwanja wa Taifa mnamo mwezi wa machi tarehe 28. Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Dar Es Salaam,Almasi...

 

10 years ago

Vijimambo

HIKI NDICHO KIKOSI CHA TANZANIA KITAKACHO CHEZA NA MAGWIJI WA BARCELONA


Mambo yameshaiva tayari kabisa kushuhudia kandanda safi kati ya magwiji wa Barcelona wakipambana na magwiji wa Tanzania. Hiki ndichi kikosi kitakacho iwakilisha Tanzania siku ya mechi Jumamosi hii. Credit:ShaffihDauda

 

10 years ago

Vijimambo

NYOTA WA BARCELONA WATEMBELEA HIFADHI YA NGORONGORO

Patrick Kluivert akiwa juu ya gari la kitalii pamoja na mchezaji mwenzie wote walisha chezea timu ya Barcelona na wako nchini Tanzania kupepetana na timu ya wakongwe wa liowahi kuchezea timu za Yanga, Simba na Taifa Stars hapo jumamosi.
Credit:ShaffihDaud.

 

5 years ago

Michuzi

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO SASA WAHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO

MKUTANO wa siku tatu uliokuwa unafanyika kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro umemalizika leo Machi 26 mwaka huu wa 2020 kwa mafanikio makubwa.

Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imeeleza mkutano huo wa siku tatu ulikuwa ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala na moja ya majadiliano yalikuwa ni kuangalia utaratibu wa Usimamizi wa fedha zinazotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa ajili ya Baraza la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani