Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGWIJI WA FC BARCELONA KUTUA NCHINI KUPAMBAMBANA NA NYOTA WA TANZANIA MACHI 28

 Mshambuliaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya Taifa ya Uholanzi Patrick Kluivert alizungumzia ujio wa magwiji FC Barcelona nchini mwezi wa tatu mbele ya waandishi wa habari kwenye mgahawa wa Sports Lounge uliopo jijini Dar Es Salaam ,Pembeni ya Kluivert ni mwenyekiti wa DRFA Ndugu Almas Kasongo. Magwiji hao wa Barcelona wanataraji kucheza na wachezaji nyota wa Tanzania kwenye uwanja wa Taifa mnamo mwezi wa machi tarehe 28. Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Dar Es Salaam,Almasi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAGWIJI WA FC BARCELONA KUTUA NCHINI KUPAMBANA NA NYOTA WA TANZANIA

 Mshambuliaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya Taifa ya Uholanzi Patrick Kluivert alizungumzia ujio wa magwiji FC Barcelona nchini mwezi wa tatu mbele ya waandishi wa habari kwenye mgahawa wa Sports Lounge uliopo jijini Dar Es Salaam ,Pembeni ya Kluivert ni mwenyekiti wa DRFA Ndugu Almas Kasongo. Magwiji hao wa Barcelona wanataraji kucheza na wachezaji nyota wa Tanzania kwenye uwanja wa Taifa mnamo mwezi wa machi tarehe 28. Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Dar Es Salaam,Almasi...

 

10 years ago

Michuzi

MAGWIJI WA KLABU YA BARCELONA WAANZA KUWASILI NCHINI

Nguli wa soka wa timu ya taifa ,Uholanzi na vilabu vya Ajax na Barcelona,Johan Cruyff (Kulia) akiongozana na mwenyeji wake,Rayco Garcia mara baada ya kuwasili katika uwanja a ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)

Dixon Busagaga (Kushoto) wa Globu ya Jamii na Busagaga's Orijino Blog akiwa katika picha ya pamoja na waratibu wa ziara hiyo ya magwiji wa Barcelona.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI

 

10 years ago

GPL

MAGWIJI WA TANZANIA WALIVYOLALA 2-1 KWA BARCELONA

Patrick Kluivert akijaribu kuwatoka wachezaji wa Tanzania. Shadrack Nsajigwa akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji wa Barca. Kikosi cha magwiji wa Tanzania.…

 

10 years ago

Mwananchi

Barcelona kutua nchini Desemba

Nyota wa zamani wa Barcelona, Patrick Kluivert, Rivaldo na Deco wanatarajiwa kukiongoza kikosi cha wachezaji wa zamani wa Barcelona kwa ajili ya kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya kikosi cha wakongwe wa soka nchini mwezi Desemba.

 

10 years ago

Vijimambo

HIKI NDICHO KIKOSI CHA TANZANIA KITAKACHO CHEZA NA MAGWIJI WA BARCELONA


Mambo yameshaiva tayari kabisa kushuhudia kandanda safi kati ya magwiji wa Barcelona wakipambana na magwiji wa Tanzania. Hiki ndichi kikosi kitakacho iwakilisha Tanzania siku ya mechi Jumamosi hii. Credit:ShaffihDauda

 

10 years ago

Michuzi

Wachezaji wa zamani wa Barcelona waanza kutua nchini

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona Patrick Kluivert akiwaongoza wachezaji wenzake akiwepo Simao Sabrosa muda mfupi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Mchezaji Luis Garcia(kulia) akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro .kushoto ni mratibu wa safari ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona Royco Garcia.Wachezaji wa Barcelona wakielekea upande wa watu mashuhuri katika uwanja wa ndege wa Kiamtaifa wa Kilimanjaro...

 

10 years ago

CloudsFM

BARCELONA KUCHEZA NA TANZANIA MACHI 28 TAIFA

TIMU ya wachezaji nyota wa zamani Barcelona FC watacheza mechi na wachezaji wa zamani wa Tanzania, Tanzania All stars machi 28 kwenye uwanja wa taifa.Mwakilishi wa wachezaji wa Barcelona, Patrick Kluivert alisema jana mechi hiyo itawahusisha wachezaji nyota wa Barcelona wakiwemo, Edgar Davis,Gaiza Mandieta, Ludovi Giuly, Francesco Coco na wengine waliopita kwenye timu hiyo.Kluivert alisema "ameshakuwa mwenyeji hapa Tanzania kwani ni ujio wake wa tatu na anaamini kuwa mashabiki wanapenda...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani