Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BARCELONA KUCHEZA NA TANZANIA MACHI 28 TAIFA

TIMU ya wachezaji nyota wa zamani Barcelona FC watacheza mechi na wachezaji wa zamani wa Tanzania, Tanzania All stars machi 28 kwenye uwanja wa taifa.Mwakilishi wa wachezaji wa Barcelona, Patrick Kluivert alisema jana mechi hiyo itawahusisha wachezaji nyota wa Barcelona wakiwemo, Edgar Davis,Gaiza Mandieta, Ludovi Giuly, Francesco Coco na wengine waliopita kwenye timu hiyo.Kluivert alisema "ameshakuwa mwenyeji hapa Tanzania kwani ni ujio wake wa tatu na anaamini kuwa mashabiki wanapenda...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAGWIJI WA FC BARCELONA KUTUA NCHINI KUPAMBAMBANA NA NYOTA WA TANZANIA MACHI 28

 Mshambuliaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya Taifa ya Uholanzi Patrick Kluivert alizungumzia ujio wa magwiji FC Barcelona nchini mwezi wa tatu mbele ya waandishi wa habari kwenye mgahawa wa Sports Lounge uliopo jijini Dar Es Salaam ,Pembeni ya Kluivert ni mwenyekiti wa DRFA Ndugu Almas Kasongo. Magwiji hao wa Barcelona wanataraji kucheza na wachezaji nyota wa Tanzania kwenye uwanja wa Taifa mnamo mwezi wa machi tarehe 28. Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Dar Es Salaam,Almasi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Barcelona: Suarez kucheza Jumatatu

Licha ya kupigwa marufuku kwa miezi 4 Barcelona imetangaza kuwa Luis Suarez atacheza katika mechi ya kirafiki.

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA MAVETERAN WA SOKA WA BARCELONA NA TANZANIA ULIOPIGWA UWANJA WA TAIFA

Wachezaji wa zamani wa timu ya Barcelona ya Hispania wakiongozwa na Patrick Kluivert (aliebeba mtoto) wakiingia uwanjani tayari kwa kukipiga na timu ya Tanzania Veterans katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. hadi mwisho wa mchezo, Barcelona ya Hispania ilishinda bao 2-1.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZIMchezaji wa zamani wa timu ya Barcelona ya Hispania, Patrick Kluivert akifurahia jambo na Mtoto mwenye Ualbino kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa kirafiki...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mfaransa Sean Garnier aja Tanzania kuonyesha umahiri wa kucheza mpira wa mtaani huku akibinuka sarakasi na kucheza dansi

Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohan’s John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo. Pembeni ni Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s Vijay Joshi.

Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo akifafanua machache mbele ya waandishi wa habari mara baada ya...

 

11 years ago

GPL

MFARANSA SEAN GARNIER AJA TANZANIA KUONYESHA UMAHIRI WA KUCHEZA MPIRA WA MTAANI HUKU AKIBINUKA SARAKASI NA KUCHEZA DANSI‏

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohn's John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo. Pembeni ni Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s Vijay Joshi.…

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA PATO LA TAIFA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA,JANUARY-MACHI 2014

 Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morice Oyuke (katikati) akitoa ufafanuzi mbalimbali katika mkutano huo. Kushoto ni  Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Uchumi, Stephen Kirama na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Oswald Ruboha.
  Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morrice Oyuke (wa tatu kushoto), akiwa  na wadau wa uchumi katika mkutano huo. Kutoka kushoto...

 

9 years ago

Habarileo

Taifa Stars kucheza na U23

KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa ya Afrika Kusini ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 (Amaglug-glug) kesho kwenye Uwanja wa Eldorado jijini Johannesburg.

 

10 years ago

GPL

Coutinho aomba kucheza Taifa Stars

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho. Na Mohammed Mdose
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho, amesema yupo tayari kuichezea timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, iwapo Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) litamtaka afanye hivyo. Sheria za Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) zinaruhusu raia wa nchi fulani kuichezea timu ya taifa ya nchi nyingine, akipata uraia wa nchi hiyo na iwapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani